Anaomba ushauri: Akubali kuwa mke wa pili au asubiri atapata mume wake?

Anaomba ushauri: Akubali kuwa mke wa pili au asubiri atapata mume wake?

Kuna motivation speakers wanasemaga the real person will come when the real time reaches ila maneno haya yamekaa kinafiki sana 😀 [emoji3] dada jitahid tu utafute mme akuoe ila pia jitahd pindi unatafta ongeza na kipato chako
 
Hata waislam kilio ni kile kile kuna binti namfahamu mkali sana kasoma sheria na ametulia swala 5 lakini amedoda hana mume analia machozi kabisa,

Kwenye usingo mama naona ni mbwembwe tu za humu ika mtaani wanaoleka sana tu, hapo ndipo maajabu yanaongezeka zaidi,
Huyo binti nipe namba yake nimfanyie nusra!!
 
Kula maisha ww acha ufala! Unawaza ndoa mapema yote tafuta channel ya hela uendelee na maisha angalia wenzako kina shishi anaoa anaacha😁😁😁
 
Kuolewa wa pili ni shida, pumba za dini kuruhusu ndoa zaidi mke mmoja ni kasoro kubwa sana maana huko mbele huwa majuto.
Nashauri asubiri tu ataolewa na mume wake. Apambane kwa sasa kusaka hela.
 
Hapo wanawake wengi ndo huyumba kujiona Kuwa warembo the end of day wanaishia kuzalishwa na ma Play Boy na kutelekezwa wanabaki single mother,
Ukweli usiopingika mwanamke akisha fikisha miaka 29 kuolewa ni ngumu sana Yani hapo mpka asugue bench, kwa saiv kizazi Cha Miaka 90 kilishatoka kwenye soko kinacho sumbua ni kizazi Cha 2000
Kwaiy hao Cousin wako watulize pressure wamuonbe Mungu haya mamb yanahitaji akili
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
Back
Top Bottom