BEFORE
JF-Expert Member
- Jun 11, 2023
- 372
- 598
SafiNipe namba yake mwaka huu hauishi namuoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SafiNipe namba yake mwaka huu hauishi namuoa
Anatakiwa atambue kwamba mtu wa kwanza wa kumuomba ushauri ni yeye mwenyewe asije kujidanganya.Nina rafiki yangu kwasasa ametimiza miaka 25 lakini wadogo zake wameolewa ambao ni watoto wa mjomba ake sasa yeye kwa sasa anafanya kazi hizi za kujitolea katika shirika X kwahiyo kuna muda anakua anatamani kuwa na mume au mchumba ambaye ana nia ya kumuoa sasa the bad thing ni kwamba hana mchumba ambaye yupo serious kwahiyo anajiona yupo singo tu kwasababu hajawahi kutolewa barua, Na umri unaenda watu wanamwambia ukichelewa kuzaa utapata tabu.
Kwahiyo hivi karibu amekua akipata watu kumtongoza ila MUME ZA WATU NA anasema kuna mmoja yupo serious anataka kumuoa ila anaogopa kwao watamshangaa kwasababu umri wake kuingia ndoa ya matala ni kitu kigumu. Na pia huyo mwanaume ana umri wa miaka 41.
Anaomba ushauri je asubiri tu azidi kuomba mungu agampa kijana mwenzie au akubali kuolewa ndoa ya uke wenza??
UmemalizaAnatakiwa atambue kwamba mtu wa kwanza wa kumuomba ushauri ni yeye mwenyewe asije kujidanganya.
Alafu akumbuke tu kwamba kuolewa/kuoa sio jambo la lazima iwe kwa mwanaume ama mwanamke wa kiislamu maadamu hafanyi zinaa.
Tatu aelewe kwamba ana uhuru wa kuchagua aolewe na nani kisheria ya dini na anaweza kuamua kukataa kwa sababu zake binafsi na wala hakuna wa kumzuia.
Miaka 25 sio umri wa kuharakia ndoa TENA NA MTU AMBAE hujui uamue nini kama akuoe ama laa,tena unaomba ushauri kwa watu.
Kama watu anaowaomba ushauri watamsaidia kukaa na huyo mume basi aendelee kuwaomba ushauri na kuwasikiliza lakini atambue kwamba ndoa ni jambo binafsi,ukishaolewa tu kila jukumu utabeba mwenyewe hakuna kwamaba alinishauri fulani,wewe hukuwa na ubongo wa kuchakata ?
Lakini mwisho ana uhuru wa kuamua kama ataolewa na mtu mkubwa zaidi yake ama mtu ambaye wanatofautiana miaka michache,muhimu asijifananishe na wengine.
Asijifananishe na wengine kwamba fulani na fulani wameolewa yeye bado,hiyo ni sumu kwa sababu everyone ana story personal,so kujifananisha na fulani kwamba yeye tayari wewe bado unataka kulazimisha story yako iwe kama yake
Watakuwa wanaringia uzuri wao...wako tayari kuolewa na machinga wa kilimo? Nipe namba zaoNa ni pisi kali kweli kweli lakini sijui nini kimewakuta haya mambo yanachanganya kinoma
Hawaringi ila aina ya maisha wanayotaka ndo haipo, hakuna wa kumpeleka shamba pale we jitafutie bi kilimo tu,Watakuwa wanaringia uzuri wao...wako tayari kuolewa na machinga wa kilimo? Nipe namba zao
Kama Nani anatamani awe mwanamkeKuwa mke wa pili au watatu au wanne, hakuna neno. Tena wahi haraka sana.
Hata takwimu za Tanzania zinaunga mkono hilo, wanawake wengi kuliko wanaume.
Na wanaume wenyewe ndiyo hao wa arkisusi, supu za pweza na vumbi la kongo. Wengine kibao ni upinde, wanatamani waolewe wao.
Kibaya ni kwamba huenda walikuwa ma slay queen wa mitandaon kama wale wanaojiuza,,,mwanamke anapochagua kuwa slay queen ndo jinsi anavyojipunguzia nafasi ya kuolewa hakuna mwanaume hufikiria kumuoa slay queen na kumuweka ndani kwanza wazaz watakushangaa ila kupita naye au kuwa mchepuko na haya ndo malipo ya maslay queenNa ni pisi kali kweli kweli lakini sijui nini kimewakuta haya mambo yanachanganya kinoma
Kwani si yeye kama binadamu ila uislami hautaki.Hapo kwenye mzigo mimi huwa nawashangaa sana, na ndipo ninapoona dini ni unafiki tu.
Kulikuwa na dada wa Kiislamu analazimisha nile mzigo, wakati wa Ramadhani, huku yeye kafunga.
Mpaka aibu nikawa naona mimi.
Kumbe wachawi wao saa wanaenda kwa waganga kufanya nini?Hawaringi ila aina ya maisha wanayotaka ndo haipo, hakuna wa kumpeleka shamba pale we jitafutie bi kilimo tu,
Yaani zama hizi ndo unakuta magroup ya kutafuta uchumba yamejaa kibao yaani.Tupo nyakati ngumu sana inaonekana km story tu ila ndo uhalisia wanawake ndo wanatafuta kuolewa kwa mbinu zile zilizotumiwa na wanaume
Exactly 💯 miongoni mwa wasichana walikuwa bora na misimamo wengi wameolewa miaka hiyo baada ya kupata Masters.Sikuzote mwanamke akiwa mtiifu na mwenye maadili hata akiwa 29-31 years wanaolewa, hilo nimeliona, wenye viburi ndo huwa hawalambi kitu.
Huu ndo ukweli maana kwenye kuslay maigizo ni mengi imepelekea sasa wanaume wanawaogopa inawagharimu pakubwa mabinti wazuri lakini wanalia kwa kukosa wachumba sio waume yani hata wa kuposa tu hakunaKibaya ni kwamba huenda walikuwa ma slay queen wa mitandaon kama wale wanaojiuza,,,mwanamke anapochagua kuwa slay queen ndo jinsi anavyojipunguzia nafasi ya kuolewa hakuna mwanaume hufikiria kumuoa slay queen na kumuweka ndani kwanza wazaz watakushangaa ila kupita naye au kuwa mchepuko na haya ndo malipo ya maslay queen
Ili apate mume 😂 nyie nilikuwa nayasikia tu, kweli uyaone nimeyaona mnaweza kudhani hadithi ila ndo ukweliKumbe wachawi wao saa wanaenda kwa waganga kufanya nini?
Nani aliyeandika hivyo? Au huelewi unachokisoma?Kama Nani anatamani awe mwanamke
Duh hadi na magroup yameanzishwa!!! Hali si shwari basiYaani zama hizi ndo unakuta magroup ya kutafuta uchumba yamejaa kibao yaani.
Kifupi maisha yamebadilika sana.
Anahisi atadoda baadae ila mungu yupo mume atapata tu.jamani at 25 unataka kuolewa mke wa pili?!,
Nini kilichomfanya awe desperate?
Au she is not confident with her looks, anaona atadoda?
Rejected na boyfriends?? ndio unaona safety net ni mume wa mtu?!
Either way pole zake,
Mimi ni kibibi,sijaolewa ila kuwa mke wa pili, NO. 😁😳😳😳
Kwa nini uhisi utadoda baadae kama hujadoda sasa hivi...?Anahisi atadoda baadae ila mungu yupo mume atapata tu.
Ujue ukiwa huna mtu anaeonyesha muelekeo inaleta stress hiyo hali.
Kwa uzuri mzuri tu kishape anacho anajistiri vizuri
Arkasusu!!?Ongea vizuri wewe, au ndiyo walewale?
Karma ya kuwakataa waowaji na kushobokea masponsor!!Na ni pisi kali kweli kweli lakini sijui nini kimewakuta haya mambo yanachanganya kinoma