Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
We endelea kuzeeka tu awamu hii siachiki ng'oKama na waganga anafata sasa sinitakufa. Mimi nakutaka wewe bana ukishaachwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We endelea kuzeeka tu awamu hii siachiki ng'oKama na waganga anafata sasa sinitakufa. Mimi nakutaka wewe bana ukishaachwa.
Hapo kwenye mzigo mimi huwa nawashangaa sana, na ndipo ninapoona dini ni unafiki tu.Mimi huwa sifungi kula ila naupenda sana uislamu basi tu. Na dada zangu wanakua wamefunga kula ila mzigo wananipea seriously
Nna jamaa yangu anataka kuoa, ila sasa ye kamuachia mama ake mtafutie mchumba, yule mama anahaha hadi namuonea huruma,Muislamu na mwenyewe anasema hapendi kuzini kabisa ila ikitokea huwa bahati mbaya na ana muda hajafanya ndomana anataka mume
Umeolewa?Ndoa zitawapa uchizi zama hizi, kuna ma cousin wawili wapo late 20's walikuwa slay queens miaka hii 3 iliyopita, ila kwa sasa wanahaha na kuolewa mmoja kashaanza na kwenda kwa waganga, mwingine huyo ni anatembelea na kusalimia kila ndugu anaamini huko huenda akapata mume, ni sarakasi tupu
Miaka 25 ni mkubwa sana.Khaa, miaka25 ana udogo gani?
Huu ushauri siyo mwema kabisa, napingana nao.
Tupo nyakati ngumu sana inaonekana km story tu ila ndo uhalisia wanawake ndo wanatafuta kuolewa kwa mbinu zile zilizotumiwa na wanaumeUmeolewa?
Aisee hii ni nature, wanawake wengi wanaotafuta ndoa huwa wanatafuta future gratification. Wanataka future ya uhakika, na wanaamini Iko kwenye ndoa baada ya kuona effects za u-feminism.
Ni kweli.Tupo nyakati ngumu sana inaonekana km story tu ila ndo uhalisia wanawake ndo wanatafuta kuolewa kwa mbinu zile zilizotumiwa na wanaume
Hata waislam kilio ni kile kile kuna binti namfahamu mkali sana kasoma sheria na ametulia swala 5 lakini amedoda hana mume analia machozi kabisa,Ni kweli.
Pia social medias imefanya kuwa vigumu kwa baadhi ya wanawake kuolewa. Kuna wanaume wanamfatilia Andrew Tate, Hawa wa aina hii hawawezi oa mtu aliyewazidi Kila kitu for the sake of ndoa. Pia hapa JF masingle mom wanapigwa vita na kibaya zaidi inasambazwa Hadi mtaani hasahasa mijini.
Kosa wanalofanya wanawake wengi wanajaribu kuhustle kwa nguvu kwenye elimu na biashara na wanaexpect watapata the same guy with the same qualities alafu wanawakosa. Pia wale wanaume walioexperience kuoa wanawake wenye viburi kutokana na kasoro za kielimu, kiuchumi vya wanaume na kuzitoa mtandaoni imewafumbua macho vijana ndo maana sekta ya ndoa inakuwa ngumu hasahasa kwa Wakristo, Waislamu kwao hakuna shida.
Wapo wanaoolewa hasahasa wale wenye utii.Hata waislam kilio ni kile kile kuna binti namfahamu mkali sana kasoma sheria na ametulia swala 5 lakini amedoda hana mume analia machozi kabisa,
Kwenye usingo mama naona ni mbwembwe tu za humu ika mtaani wanaoleka sana tu, hapo ndipo maajabu yanaongezeka zaidi,
Hakuna namna turudi kulekule kwenye utii,Wapo wanaoolewa hasahasa wale wenye utii.
Nakutakia upate unachotaka, kwa muda unaotaka, upate heri na fanaka bila kukurupushwa na matarajio ya walimwengu, kwa kufuata ratiba na matakwa yako mwenyewe.Ndoa Huwa inakuja yenyew mm Nina miaka Zaid ya hiyo lakin wachumba mbona wapo kuamua kuolewa ni maamuz magumu yanataka utulivu wa akili na mwili na hasa ukiwa unahitaji ndoa kweli na sio show off za harus
Wadogozang waliolewa mapema mmoja tayar ana ndoa mbili Hadi Sasa [emoji3]na mtoto juu
Rafiki yangu kaolewa last year now anadai talaka
Sioni kama kachelewa muhimu awe anajiheshimu mume atapata tu Aisee
Mbona huo umri Bado sanaa.Ndoa zitawapa uchizi zama hizi, kuna ma cousin wawili wapo late 20's walikuwa slay queens miaka hii 3 iliyopita, ila kwa sasa wanahaha na kuolewa mmoja kashaanza na kwenda kwa waganga, mwingine huyo ni anatembelea na kusalimia kila ndugu anaamini huko huenda akapata mume, ni sarakasi tupu
Cousins waliamini wao wana mionekano mizuri, sasa waliokuwa wanawaona km hawavutii wote tumeshakula ubwabwa, hawaamini macho yao, 28 29 hujawahi kuolewa lazima stress zikutafune tu,,Mbona huo umri Bado sanaa.
Sema mabinti kadri umri unavyo zaidi kwenda ndo ile pressure ya kuto olewa inaongezeka na wengi wao hapo ndo wanajichanganya Sasa kila mwanaume akija anaona atamuoa,,,
Hao Cousin zako Bado ila sometimes ni vizuri kupata mchumba mapema
Na mwanamke asipokuwa mtiifu, ndoa haidumu au hatokuja kuolewa.Hakuna namna turudi kulekule kwenye utii,
Kwa hali ilivyo tutakuwa watiifu tu, cousins walikuwa hawashikiki kuna mmoja ilifikia hatua km huna iPhone hawezi kusave namba yako, saiv wanatia huruma kinoma nyie nyieeeNa mwanamke asipokuwa mtiifu, ndoa haidumu au hatokuja kuolewa.