Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 949
- 2,038
Andrew Tete yule ni Mwamba aisee... Anatupa madini ya Dunia yule jamaa anafundisha Thamani ya mwanaume binafsi nimevijua vitu vingi sana kupitia kwake kuja kuteswa na mwanamkeNi kweli.
Pia social medias imefanya kuwa vigumu kwa baadhi ya wanawake kuolewa. Kuna wanaume wanamfatilia Andrew Tate, Hawa wa aina hii hawawezi oa mtu aliyewazidi Kila kitu for the sake of ndoa. Pia hapa JF masingle mom wanapigwa vita na kibaya zaidi inasambazwa Hadi mtaani hasahasa mijini.
Kosa wanalofanya wanawake wengi wanajaribu kuhustle kwa nguvu kwenye elimu na biashara na wanaexpect watapata the same guy with the same qualities alafu wanawakosa. Pia wale wanaume walioexperience kuoa wanawake wenye viburi kutokana na kasoro za kielimu, kiuchumi vya wanaume na kuzitoa mtandaoni imewafumbua macho vijana ndo maana sekta ya ndoa inakuwa ngumu hasahasa kwa Wakristo, Waislamu kwao hakuna shida.
Mungu mwenyew anajua