Anaomba ushauri: Akubali kuwa mke wa pili au asubiri atapata mume wake?

Anaomba ushauri: Akubali kuwa mke wa pili au asubiri atapata mume wake?

Ndoa zitawapa uchizi zama hizi,, kuna ma cousin wawili wapo late 20's walikuwa slay queens miaka hii 3 iliyopita,, ila kwa sasa wanahaha na kuolewa mmoja kashaanza na kwenda kwa waganga, mwingine huyo ni anatembelea na kusalimia kila ndugu anaamini huko huenda akapata mume,, ni sarakasi tupu
Ina maana hao cousin wako hawatongozwi? Kapeace
 
Ndoa zitawapa uchizi zama hizi,, kuna ma cousin wawili wapo late 20's walikuwa slay queens miaka hii 3 iliyopita,, ila kwa sasa wanahaha na kuolewa mmoja kashaanza na kwenda kwa waganga, mwingine huyo ni anatembelea na kusalimia kila ndugu anaamini huko huenda akapata mume,, ni sarakasi tupu
Washauri tu wawe kama wewe.
 
Nina rafiki yangu kwasasa ametimiza miaka 25 lakini wadogo zake wameolewa ambao ni watoto wa mjomba ake sasa yeye kwa sasa anafanya kazi hizi za kujitolea katika shirika X kwahiyo kuna muda anakua anatamani kuwa na mume au mchumba ambaye ana nia ya kumuoa sasa the bad thing ni kwamba hana mchumba ambaye yupo serious kwahiyo anajiona yupo singo tu kwasababu hajawahi kutolewa barua , Na umri unaenda watu wanamwambia ukichelewa kuzaa utapata tabu.

Kwahiyo hivi karibu amekua akipata watu kumtongoza ila MUME ZA WATU NA anasema kuna mmoja yupo serious anataka kumuoa ila anaogopa kwao watamshangaa kwasababu umri wake kuingia ndoa ya matala ni kitu kigumu. Na pia huyo mwanaume ana umri wa miaka 41.

Anaomba ushauri je asubiri tu azidi kuomba mungu agampa kijana mwenzie au akubali kuolewa ndoa ya uke wenza??
Kwanza tungetaka kujua ni dini gani?
 
Wadada wa Kiislamu unawaelewa vipi mkuu?

Kwenye mfungo huwa wanakupatia mambo au unawekwa bench mpaka mfungo uishe?
Wana utamu fulani wa asili yaani wanajua kumfanya mwanaume afurahi. Watajifukiza kujichora kudeka kurembua macho kuringisha wengine kua ana mwanaume , wanajua kupika e bana ee ni vingi Mimi ni mgalatia ndoa yangu ya kigalatia ila nikitaka kupiga pafu ni Kwa dada zetu wapo vizuri.... inshallah ipo siku nitaoa
 
Back
Top Bottom