Anaomba ushauri: Akubali kuwa mke wa pili au asubiri atapata mume wake?

Kuna motivation speakers wanasemaga the real person will come when the real time reaches ila maneno haya yamekaa kinafiki sana 😀 [emoji3] dada jitahid tu utafute mme akuoe ila pia jitahd pindi unatafta ongeza na kipato chako
 
Huyo binti nipe namba yake nimfanyie nusra!!
 
Kula maisha ww acha ufala! Unawaza ndoa mapema yote tafuta channel ya hela uendelee na maisha angalia wenzako kina shishi anaoa anaacha😁😁😁
 
Kuolewa wa pili ni shida, pumba za dini kuruhusu ndoa zaidi mke mmoja ni kasoro kubwa sana maana huko mbele huwa majuto.
Nashauri asubiri tu ataolewa na mume wake. Apambane kwa sasa kusaka hela.
 
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…