Anaomba Ushauri: Alisalitiwa na mume wake wakaachana, Mume akaoa na akapata Pesa. Maisha yamekuwa magumu anataka kuwa Mchepuko

6.Mke kukosa ubunifu kitandani unakuta li mwanamke linakuchezea makende linayavuta utafikili linawasha jenereta mara nyingine likilala chali halitoi milio yoyote wala halibinui macho linakutazama unavyohanamgaika mpaka dudu linazima.
Anawaza VICOBA na Marejesho maliza uende ushirikiano Sifuri
 
Kama kweli wewe ndio ulimwacha Mume wako kisa ni msaliti basi 3/4 ya wanawake wote Duniani wasingekuwa na ndoa.
Ila bado napata mashaka na ukweli huu,maana enzi na enzi za mababu zetu sijawahi kusikia Mwanamke kamuacha Mume wake kisa Malaya.itakuwa weae ndio uliachwa kwa umalaya unasingizia wewe ndio uliacha.
 
Dah umeandika Kwa Hisia Sana Hadi nimecheka [emoji81][emoji81][emoji81]
 
Mimi ntakushauri uachane na huyo mwanaume ila mane Tu upande wa child support...

Kwa jinsi ulivoelezea wewe kua na huyo mwanaume ni tatizo.. mwanaume yyt Yule duniani hua "hachungwi" kama ng'ombe wewe ulitaka awe anakula daily ugali dagaa (awe anakutafuna wewe Tu).. hiyo n ngumu...

Inawezekana huyu mwanamke aliye Naye ndiye mtu sahihi sio kwamba haoni hiyo tabia ya mmeo ya kuchepuka Bali mwanamke mwenzio kakuzidi akili anajua namna ya kuishi na mme...
Anyway nimechoka kutype
 
Hahahaaa
 
Sababu ilikuwa anachepuka sana au alikuwa Hana pesa??!
 
Kama hamkuachana kwa ubaya mtafute ongea nae akusaidie kiuchumi kwa sababu una watoto sidhani kama atakataa
 
Ferminists walimjaza upepo na makongamano yao ya super woman sijui wanawake wanaweza. Jadda na Guantanamoh haya sasa mnayoyaubiri kila siku mwenzenu kayafanyia kazi, ni matumaini yangu mtamsaidia ajira aweze kujikimu mahitaji yake na watoto
 
Alokwambia mwanaume ni ajira nani?
Wanawake wengi wako kwenye ndoa ila wanaishi kama wajane! Hata mia hawapewi na wanaume zai hawawatunzi wanakomaa na ndoa.

Huyo anaeomba ushauri ni muoga tu. Inamaana wanawake wote wanaishi kwenye ndoa hawana vipato? We kiande kweli
 
Sasa wewe umemiacha kisa michepuko alaf unataka uwe mchepuko tafuta mwanaume asie na michepuko
 
😀😀😀 ferminists bhana mshampoteza maboya mwenzenu ndio mnamuita muoga. Mpeni mchongo mwanamke mwenzenu atakufa njaa
 
😀😀😀 ferminists bhana mshampoteza maboya mwenzenu ndio mnamuita muoga. Mpeni mchongo mwanamke mwenzenu atakufa njaa
Basi na wanaume wasio na kazi wala uwezo kimaisha waolewe. Kama mkombozi wa kiuchumi ni mwanaume😂 kusingekua na vilaza wa kiume usinichoshe
 
Basi na wanaume wasio na kazi wala uwezo kimaisha waolewe. Kama mkombozi wa kiuchumi ni mwanaume😂 kusingekua na vilaza wa kiume usinichoshe
Tulieni nyumbani tuwahudumie mng'ae sasa mwanaume hata akichepuka as long as anahudumia familia wewe utapungukiwa nini. Acheni kupotoshana uko kwenye makongamano yenu.. iyo nafasi ya uanamume mnayoitaka hamjui sacrifices zake.
 
Stupid🚮

Sasa wewe ndo ume justify kwanini huwa nawachamba humu.
Deleted01 Vishu Mtata Kisai
Mnabishaga mnasemaga mimi naongeaga negative tu. Mnaona sasa mawazo ya mwanaume mwenzenu yalivyo ya kipumbavu.

Eti mwanaume hata akichepuka napungukiwa nini. Hivi mnadhanigi wanawake hawana mioyo au. Mngekua mna nguvu za kiume basi za
Kuwaridhisha hao wake zenu na michepuko, mkeo nyumbani hujui kama karidhika au la unaenda kuonesha ulemavu wako mitaani huko zipu hufungi kazi kupandisha gia mbovu.

Wake zenu wana wastahi sana na vilema vyenu tungesema hapa wanaume wasimame basi nyie mnaombwata mngejificha
 
Stupid🚮

Sasa wewe ndo ume justify kwanini huwa nawachamba humu.
Deleted01 Vishu Mtata Kisai
Mnabishaga mnasemaga mimi naongeaga negative tu. Mnaona sasa mawazo ya mwanaume mwenzenu yalivyo ya kipumbavu
I hope you heal. Nakuweka sana kwenye sala zangu ndio maana sitaki kabisa kulumbana na wewe humu. Unahitaji msaada zaidi na sio malumbano.
 
I hope you heal. Nakuweka sana kwenye sala zangu ndio maana sitaki kabisa kulumbana na wewe humu. Unahitaji msaada zaidi na sio malumbano.
Kwahiyo alichokisema huyo mwenzenu ni sahihi? Ndo maana mnauwawa arusha huko. Mnastahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…