Anapata wapi Nguvu ya kuandaa 'Wiki ya Iliyomshinda Nchi" kwao Paje Kizimkazi, wakati TEC wamempiga na Kitu Kizito Jana?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Sijui safari hii Mganga wangu wa tokea 2016 kakosea wapi kwani mwaka 2021 nilipendwa kweli kweli ila hivi sasa Nachukiwa hadi nawaza au Mganga wangu kwa bahati mbaya au kwa Makusudi alinibadilishia Dozi ndiyo maana Nyota haingai tena hata nikiwaonyesha Upendo wote na Kuwarembulia juu?
 
Nguvu za Giza NI feki,zinadumu kwa muda TU halafu zinaondoka.
 
Samia sio Kiongozi dhaifu na WA kuendeshwa Kwa mihemko.

Ni ajabu Hadi Leo hii hujamsoma, umewahi sikia akipayuka Kwa lolote au kupanic? Mara ya mwisho Rais Samia kupanic ni siku ya kupokea ripoti ya CAG kinyume na hapo haitakuja kutokea.

Kiufupi msijiamini sana anaweza kusema liwalo na liwe hakuna kurudi nyuma regardless of what may happen to him..

Watanzania wote sio Wahafidhina.
Huyo him ni nani? Ni Samia?
 
Sijui safari hii Mganga wangu wa tokea 2016 kakosea wapi kwani mwaka 2021 nilipendwa kweli kweli ila hivi sasa Nachukiwa hadi nawaza au Mganga wangu kwa bahati mbaya au kwa Makusudi alinibadilishia Dozi ndiyo maana Nyota haingai tena hata nikiwaonyesha Upendo wote na Kuwarembulia juu?
Aisee
 
Happen to him hahaha English koma

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Sijui safari hii Mganga wangu wa tokea 2016 kakosea wapi kwani mwaka 2021 nilipendwa kweli kweli ila hivi sasa Nachukiwa hadi nawaza au Mganga wangu kwa bahati mbaya au kwa Makusudi alinibadilishia Dozi ndiyo maana Nyota haingai tena hata nikiwaonyesha Upendo wote na Kuwarembulia juu?
Ingawa mwanakwenda alikuwa bandidu kinyama lakini haki yake ya kuminywa kindezi halafu masela wanamnanga na kushangilia ndo wanakunywa dawa yao sasa.
 
Sijui safari hii Mganga wangu wa tokea 2016 kakosea wapi kwani mwaka 2021 nilipendwa kweli kweli ila hivi sasa Nachukiwa hadi nawaza au Mganga wangu kwa bahati mbaya au kwa Makusudi alinibadilishia Dozi ndiyo maana Nyota haingai tena hata nikiwaonyesha Upendo wote na Kuwarembulia juu?
Kosa lako ni kuonesha upendo na kurembua macho kulikopitiliza kwa wawekezaji badala kurembua macho na kuonesha werevu na weledi kwenye mikataba! Mganga hana kosa!
 
Sijui safari hii Mganga wangu wa tokea 2016 kakosea wapi kwani mwaka 2021 nilipendwa kweli kweli ila hivi sasa Nachukiwa hadi nawaza au Mganga wangu kwa bahati mbaya au kwa Makusudi alinibadilishia Dozi ndiyo maana Nyota haingai tena hata nikiwaonyesha Upendo wote na Kuwarembulia juu?
Umenikumbusha wizi wa Fedha za Escrow.
Baadhi ya hao Mabosi "bishoopz" walipewa mgao wa wizi.
Je,wanataka mgao mwingine kupitia TICS?
 
Samia sio Kiongozi dhaifu na WA kuendeshwa Kwa mihemko.

Ni ajabu Hadi Leo hii hujamsoma, umewahi sikia akipayuka Kwa lolote au kupanic? Mara ya mwisho Rais Samia kupanic ni siku ya kupokea ripoti ya CAG kinyume na hapo haitakuja kutokea.

Kiufupi msijiamini sana anaweza kusema liwalo na liwe hakuna kurudi nyuma regardless of what may happen to him..

Watanzania wote sio Wahafidhina.
Acha shobo binti
 
Sijui safari hii Mganga wangu wa tokea 2016 kakosea wapi kwani mwaka 2021 nilipendwa kweli kweli ila hivi sasa Nachukiwa hadi nawaza au Mganga wangu kwa bahati mbaya au kwa Makusudi alinibadilishia Dozi ndiyo maana Nyota haingai tena hata nikiwaonyesha Upendo wote na Kuwarembulia juu?
Wewe jamaa linafiki sana. Si wewe ndo ulikuwa hapa mwanzoni unamuunga mkono mama mkataba wa bandari. Na kutukana wengine waliokuwa wanaupinga?

Mama chapa kazi
 
Back
Top Bottom