Anapata wapi Nguvu ya kuandaa 'Wiki ya Iliyomshinda Nchi" kwao Paje Kizimkazi, wakati TEC wamempiga na Kitu Kizito Jana?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Sijui safari hii Mganga wangu wa tokea 2016 kakosea wapi kwani mwaka 2021 nilipendwa kweli kweli ila hivi sasa Nachukiwa hadi nawaza au Mganga wangu kwa bahati mbaya au kwa Makusudi alinibadilishia Dozi ndiyo maana Nyota haingai tena hata nikiwaonyesha Upendo wote na Kuwarembulia juu?
 
Nguvu za Giza NI feki,zinadumu kwa muda TU halafu zinaondoka.
 
Huyo him ni nani? Ni Samia?
 
Aisee
 
Happen to him hahaha English koma

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Ingawa mwanakwenda alikuwa bandidu kinyama lakini haki yake ya kuminywa kindezi halafu masela wanamnanga na kushangilia ndo wanakunywa dawa yao sasa.
 
Kosa lako ni kuonesha upendo na kurembua macho kulikopitiliza kwa wawekezaji badala kurembua macho na kuonesha werevu na weledi kwenye mikataba! Mganga hana kosa!
 
Umenikumbusha wizi wa Fedha za Escrow.
Baadhi ya hao Mabosi "bishoopz" walipewa mgao wa wizi.
Je,wanataka mgao mwingine kupitia TICS?
 
Acha shobo binti
 
Wewe jamaa linafiki sana. Si wewe ndo ulikuwa hapa mwanzoni unamuunga mkono mama mkataba wa bandari. Na kutukana wengine waliokuwa wanaupinga?

Mama chapa kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…