Anapata wapi Nguvu ya kuandaa 'Wiki ya Iliyomshinda Nchi" kwao Paje Kizimkazi, wakati TEC wamempiga na Kitu Kizito Jana?

Babu yangu aliniambia....."damu ya ntu nzito".
 
Mshauri ashupaze shingo.
 
Huyo kutoongea kwake ni Kwa sababu ni debe tupuu, mweupe kkichwaniii !!.


Hamna Cha Kujifanya Et anapenda ukimya.
 
Baada ya kupokea ripoti ya CAG amefanya nini mkuu? Kama sio dhaifu
 
"...regardless of what may happen to HIM"
Hahaaa....ndio ujue uko kundi gani nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…