Anapika chakula hanipi, hanifulii nguo halafu anataka ndoa

Anapika chakula hanipi, hanifulii nguo halafu anataka ndoa

West standard

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2021
Posts
441
Reaction score
649
Nilipozaliwa nilitamani siku moja niwe na familia yenye Amani furaha na upendo lakini vyote hakuna badala yake, Mwanamke hanifulii anapika Chakula hanipi, Anaenda mbali na tulipo haniambii.

Halafu ananiambia anataka tufunge ndoa. Kweli?

Nimfanye nini huyu mwanamke?
 
Ni kwanini unataka kuingia kwenye ndoa ilhali hamna furaha kati yenu?
Nilichokigundua mimi ni kuwa watu wengi wanafanyia makosa hapa,anagundua kuwa mpenzi wake ana mapungufu kabla hata hawajafunga ndoa ,lakini anajipa moyo kuwa atakuja kubadilika mbele ya safari wakati kiuhalisia ni kuwa tabia haina dawa,na ukijidanganya kufunga naye ndoa juwa kabisa kuwa utakuja kulia mbele ya safari...
 
Wengine wanajilipua kwakua harusi itakua kubwa na watuwataisimulia.
 
Nilipozaliwa nilitamani siku moja niwe na familia yenye Amani furaha na upendo lakini vyote hakuna badala yake, Mwanamke hanifulii anapika Chakula hanipi, Anaenda mbali na tulipo haniambii.

Halafu ananimbia anataka tufunge ndoa. kweli?

Nimfanye nini huyu mwanamke?
Sitamind kama akipika msosi kanikaribisha maana mikono na miguu ninayo na sikuzaliwa kwenye familia ya kibwanyenye maana hata mzee nilikua naona anakaribishwa mezani tunaenda wote lakii kwenye kwenda hili suala la kwenda mbali halafu hakuiambii duuh ndugu,,, sasa kama hatoi taarifa leo hii hamjaoana mkikaa pamoja si utwehuka ..choice mbili mwambie hayo mambo ya kipuuzi aache kama anataka kuwa na mahusiano yeneye kustawi lazima kuwe na principle moja wapo ni ya kuwa siliana na kutoa taarifa mahali alipo kama haweza mwambie aende zake ...wazungu wanasema ...''grow some balls''.. au hit the ejection button before ots ery close to the ground
 
Back
Top Bottom