West standard
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 441
- 649
Analazimisha kwa kuniambia mimi ni halali yake.Ni kwanini unataka kuingia kwenye ndoa ilhali hamna furaha kati yenu?
Wewe ni mtu huru, usilazimishwe kufanya maamuzi usiyoridhia nayo. Utumwa ulikomeshwa miaka 100 iliyopita.Analazimisha kwa kuniambia mimi ni halali yake.
Muulize ana x-mass ngapi tangu a balehe?Tafta mwanamke mwengine atakayekuwa tayari kufanya hayo yote
Hahahahaha hziwez kuwa zaidi ya 5Muulize ana x-mass ngapi tangu a balehe?
Sina tatizo lolote, tatizo ni huyu mwanadada. Yan natamani kuhamia somalia.Unakuaje na mwanamke mmoja utakuwa na tatizo mahali
Tafuta mwengine halafu mwanaume lazima uwe na wanawake wa backup akizingua huyu mmoja unampandisha cheoSina tatizo lolote, tatizo ni huyu mwanadada. Yan natamani kuhamia somalia.
Nilichokigundua mimi ni kuwa watu wengi wanafanyia makosa hapa,anagundua kuwa mpenzi wake ana mapungufu kabla hata hawajafunga ndoa ,lakini anajipa moyo kuwa atakuja kubadilika mbele ya safari wakati kiuhalisia ni kuwa tabia haina dawa,na ukijidanganya kufunga naye ndoa juwa kabisa kuwa utakuja kulia mbele ya safari...Ni kwanini unataka kuingia kwenye ndoa ilhali hamna furaha kati yenu?
Wengine wanajilipua kwakua harusi itakua kubwa na watuwataisimulia.Nilichokigundua mimi ni kuwa watu wengi wanafanyia makosa hapa,anagundua kuwa mpenzi wake ana mapungufu kabla hata hawajafunga ndoa ,lakini anajipa moyo kuwa atakuja kubadilika mbele ya safari wakati kiuhalisia ni kuwa tabia haina dawa,na ukijidanganya kufunga naye ndoa juwa kabisa kuwa utakuja kulia mbele ya safari...
Sitamind kama akipika msosi kanikaribisha maana mikono na miguu ninayo na sikuzaliwa kwenye familia ya kibwanyenye maana hata mzee nilikua naona anakaribishwa mezani tunaenda wote lakii kwenye kwenda hili suala la kwenda mbali halafu hakuiambii duuh ndugu,,, sasa kama hatoi taarifa leo hii hamjaoana mkikaa pamoja si utwehuka ..choice mbili mwambie hayo mambo ya kipuuzi aache kama anataka kuwa na mahusiano yeneye kustawi lazima kuwe na principle moja wapo ni ya kuwa siliana na kutoa taarifa mahali alipo kama haweza mwambie aende zake ...wazungu wanasema ...''grow some balls''.. au hit the ejection button before ots ery close to the groundNilipozaliwa nilitamani siku moja niwe na familia yenye Amani furaha na upendo lakini vyote hakuna badala yake, Mwanamke hanifulii anapika Chakula hanipi, Anaenda mbali na tulipo haniambii.
Halafu ananimbia anataka tufunge ndoa. kweli?
Nimfanye nini huyu mwanamke?