Huishi na mwanamke ila unaishi na malaya embu lifukuze mara moja njoo bar tunywe bia hapo hakuna mwanamke bwana mdogo .Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana.Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada ya kupita kitaa mashost wa wife wanaongea kwa kebehi kwamba "mke wake anapost wanaume wenye magari ilihali mumewe hana" asee nimejikuta nina hasira za ajabu na msongo,natokaje kwenye huu mtego msaada tafadhalini..
dronedrake njoo utoe neno moja hukuMens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana.Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada ya kupita kitaa mashost wa wife wanaongea kwa kebehi kwamba "mke wake anapost wanaume wenye magari ilihali mumewe hana" asee nimejikuta nina hasira za ajabu na msongo,natokaje kwenye huu mtego msaada tafadhali
Mwenzangu! Sio tu kuolewa, hata katika mahusiano sithubutu kupost picha na video za wanaume wengine hata kwa zile za kuchekesha!Hivi ni mm na ushamba wangu au mwanamke akiolewa anatakiwa achunge anachopost hasa kinachohusu wanaume wengine ambao si ndugu zake!
Siyo ushamba wako, ndivyo inavyopaswa iwe, kwa mtu awaye yeyote mwenye akili timamu ni lazima awe makini na chochote kile anachokiweka public,Hivi ni mm na ushamba wangu au mwanamke akiolewa anatakiwa achunge anachopost hasa kinachohusu wanaume wengine ambao si ndugu zake!
Kabisa kabisa, kwanza mtu umeolewa unapataje huo ujasiri na akili ya kupost mwanaume mwingine tofauti na nduguHivi ni mm na ushamba wangu au mwanamke akiolewa anatakiwa achunge anachopost hasa kinachohusu wanaume wengine ambao si ndugu zake!
Na hivyo ndivyo hasa mke mwenye staha zake anapaswa kuwa.Mwenzangu! Sio tu kuolewa, hata katika mahusiano sithubutu kupost picha na video za wanaume wengine hata kwa zile za kuchekesha!
Hiyo nguvu ya kupost chats na mwanaume mwingine, tena nikiwa namsifia napata wapiiiiii?
Nisikupe moyo, ila safari imeanza rasmi.Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana.Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada ya kupita kitaa mashost wa wife wanaongea kwa kebehi kwamba "mke wake anapost wanaume wenye magari ilihali mumewe hana" asee nimejikuta nina hasira za ajabu na msongo,natokaje kwenye huu mtego msaada tafadhalini..
Ukishakuwa useless kwa mwanamke hasa mke wa ndoa cha moto utakiona.Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana.Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada ya kupita kitaa mashost wa wife wanaongea kwa kebehi kwamba "mke wake anapost wanaume wenye magari ilihali mumewe hana" asee nimejikuta nina hasira za ajabu na msongo,natokaje kwenye huu mtego msaada tafadhalini..
Nampenda sana na kumheshimu, kivyovyote siwezi kumuumiza kwa kumvunjia heshima.Na hivyo ndivyo hasa mke mwenye staha zake anapaswa kuwa.
Ni mwenye bahati tele mume wako.