Anasema anajenga kwa kukopa, Magufuli alitaka tujitegemee kwa kiasi fulani kujenga

Chagua moja hapa:- Uwe mateka wa mtu mwongo ambaye alikuwa anakopa halafu anadanganya kuwa anajenga kwa fedha za ndani.

AU

Utumie akili zako vizuri kwa kumuelewa Samia ambaye anakiri anakopa kumalizia kujenga miradi aliyoanzisha mtangulizi wake.
Sasa hapo unalinganisha nini wakati hakuna kitu kama hicho. Unaonekana ni mlevi tu wa propaganda ya wale waliyomchukia jpm.
Mwenyewe alijua lazima mikopo na alikua muwazi kwamba serikali inatafuta mikopo.
Lakini aliongelea umuhimu wa kujitegemea na akaamua kuanza miradi mikubwa kwa hela za ndani. Aliamini wakiona tumeanza hiyo miradi mikubwa wakopeshaji watakubali kutukopesha jambo ambalo likawa sahihi.
 
Sio Habari zinazunguka lakini ndiyo ukweli

1. Deni la wastaafu limelipwa ni 2 trillion
2. Mkopo wa bei rahisi wa Covid Mama katumia kujenga madarasa
3. Magufuli alikopo kwa muhula wa kwanza wa reli na Samia kakopa kwa mihula ya pili na wa tatu
4. Bwawa na Mwalimu Nyerere lilikuwa halijalipwa lote Mama amekopa kulipia
5. Uwekezaji kwenye kilimo 600B

Tukiacha mengine kama ongezeko la mishahara zaidi ya 20% ambako wananchi ndiyo wamedai na wakati wa Magu hakuongeza mishahara.

Sasa mlitaka miradi ifanyike na pesa zipi hasa wakati hamtaki tozo zaidi. Njia pekee ni kukuwa kwa uchumi na ni lazima uwekezaji huo ufanyike ili kodi ziongezeke. Lakini Magu alikuwa anachukuwa pesa za watu bank kulipia miradi hii haikuwa sahihi.
Eti uwekezaji kwenye kilimo 600b. Hizo ni hela za kupigwa na vigogo. Na eti kuongeza mishara wafanyikazi? Yaani unaongeza mishahara ya wafanyakazi kwa mkopo kutoka nje?
Duh tunarudi kulekule wakati jk alikua anakopa nje kulipa mishara🤣
 
..Magufuli alikuwa ni kifaa cha kusaidia mapigo ya moyo kilichotengenezwa na mabeberu.

..Kwa hiyo yeye kudai anachukia Mabeberu ilikuwa ni ulaghai kwani uhai wake ulitegemea hisani ya kifaa chao.

..Na zile pushup na vitimbi vingine majukwaani kuonyesha kuwa yuko imara ilikuwa ni ulaghai.
Kua serious wewe. Utani gani huu sasa.
 
Mama juzi kajisifu kukopa sana ili kukamilisha miradi aliyoanzisha Jpm, na kwamba atahakikisha hakuna hela ya mkopo inaliwa.

Watanzania tujue mabeberu walikua wanachukizwa na ari ya jpm ya kujitegemea na ile kuwafunza watanzania kwamba nchi yao ni tajiri jambo ambalo ni kweli. Aliwaonyesha mabeberu uwezo wa nchi yetu kujenga miradi kwa kujitegemea kwa kuanza na hela za ndani jambo lililowaudhi kwani aliweka mikakati kuhakikisha biashara za ndani na wawekezaji wanalipa kodi kufuatana na sheria na sio vinginevyo.

Nia ya mabeberu ilikua kutawala nchi kuhusu miradi gani tunaweza kufanyab na ipi hatuwezi au haturuhusiwi kufanya kufuatana na maslahi yao na sio maslahi ya nchi yetu. Pia ile jeuri ya kutaka kuruka kizingiti kwamba hatuwezi kujenga bila kukopa kwao kwa masharti yao iliwaudhi.

Nachotaka kusema kwa mama ni kwamba sio tu kwamba ahakikishe miradi inakamilika lakini awe alimuelewa jpm. Kwa hivyo asije ua ile fikra ya kujitegemea kwa kurukia mikopo kwa kila kitu na hasa ile isiyokua na tija bila kutumia kwa kiasi kikubwa nguvu yetu wenyewe. Atambue ubeberu moja ya nyenzo zao ni kuhakikisja tupo daima kwenye madeni makubwa yasiyolipika na hata kama yanalipika. Lazima pia kutambua mikopo ni biashara wala hakuna hisani.

Pia mama atambue vigogo wanaomzunguka wanapenda mikopo kwani ni hela ya kigeni inaingia wangependa kuipiga kwa kufanya dili mbalimbali hatimae mradi kua ghali sana au kupunguka ubora.
ALITAKA tujitegemee kwa kibambikizia watu kesi kisha achukue Fedha zao kama za Seth wa Iptl
 
Ukweli uko wapi hapo... Utoe Kwa wananchi ujenge.

Huyu ukope utoe Kwa wananchi
 
Si furahi kukopa, lakini Haina maana kwamba mwenzake hakukopa, Kikwete anatoka madarakani 2015 deni la taifa lilikuwa trillion 30 miaka 5 ya Mzee unadata zake au ni vile tulikuwa hatuambiwi? lilifikaje deni trillion 70 last year!. Mama akope na bdugu zetu wanaomsaidia kazi waheshimu Hela tulizokopa kuwa zinatakiwa kutumika kwa malengo yaliyokubaliwa. Dodoma Kuna majengo ya wizara yanaota kama uyoga tukitegemea monthly collection it will take a number of years to complete it.
 
Mama juzi kajisifu kukopa sana ili kukamilisha miradi aliyoanzisha Jpm, na kwamba atahakikisha hakuna hela ya mkopo inaliwa.

Watanzania tujue mabeberu walikua wanachukizwa na ari ya jpm ya kujitegemea na ile kuwafunza watanzania kwamba nchi yao ni tajiri jambo ambalo ni kweli. Aliwaonyesha mabeberu uwezo wa nchi yetu kujenga miradi kwa kujitegemea kwa kuanza na hela za ndani jambo lililowaudhi kwani aliweka mikakati kuhakikisha biashara za ndani na wawekezaji wanalipa kodi kufuatana na sheria na sio vinginevyo.

Nia ya mabeberu ilikua kutawala nchi kuhusu miradi gani tunaweza kufanyab na ipi hatuwezi au haturuhusiwi kufanya kufuatana na maslahi yao na sio maslahi ya nchi yetu. Pia ile jeuri ya kutaka kuruka kizingiti kwamba hatuwezi kujenga bila kukopa kwao kwa masharti yao iliwaudhi.

Nachotaka kusema kwa mama ni kwamba sio tu kwamba ahakikishe miradi inakamilika lakini awe alimuelewa jpm. Kwa hivyo asije ua ile fikra ya kujitegemea kwa kurukia mikopo kwa kila kitu na hasa ile isiyokua na tija bila kutumia kwa kiasi kikubwa nguvu yetu wenyewe. Atambue ubeberu moja ya nyenzo zao ni kuhakikisja tupo daima kwenye madeni makubwa yasiyolipika na hata kama yanalipika. Lazima pia kutambua mikopo ni biashara wala hakuna hisani.

Pia mama atambue vigogo wanaomzunguka wanapenda mikopo kwani ni hela ya kigeni inaingia wangependa kuipiga kwa kufanya dili mbalimbali hatimae mradi kua ghali sana au kupunguka ubora.
Kwani makufuli alikuwa akopi? taja nchi kumi zilizo endelea pasi na kukopa
 
Aliyesema JPM alitumia unyang'anyi ninampinga kwa nguvu zote. Sasa akiona account iliyonona ambayo mwenyewe hana maelezo ya kutosha, atarudisha serikali ili zisaidie wewe mlala hoi uliyehujumiwa. Huo sio wizi ila ni kumrudisha pesa iliyoibiwa serikali. Wale waliosaliti Tz akichukuwa hizo pesa amenyang'anya? Alifanya hivyo kwa uzalendo wa hali ya juu. Aliwatapisha watu mapesa waliyoiba. Lala salama baba, ama kweli watu wema hawaishi mda mrefu.
Huyo alikuwa mwizi mbana yeye hela zake akizitoa zifanye maendeleo alizo kwapua kwanye uwazi wa ujenzi kama kweli alikuwa mkweli
 
Kama kuna mtu Bado anaamini maneno ya mwenda zake basi Milembe atangulie mwenyewe
Naona wewe ndio unahitaji kuelimishwa vinginevyo ujinga unakutesa.
Hebu fikiri mamilioni ya watz bado wanamwamini magufuli kiasi likiwekwa jina lake na la mtu mwingine yeyote atashinda uchaguzi.
 
JPM alikuwa anafanya unyang'anyi. Wafanyabiashara walikuwa wanaibiwa kutwa. Yani alikuwa hafai.
Mbona Bakhresa, Mengi, Bank za kigeni mfano Stanbic, Absa, Na wenyewe viwanda mbona hawaja wai kulala Mika kuporwa pesa zao? Au wafanyabishara gani hao waliyonyanganywa pesa zao wataje wajulikane
 
Ukiwa zezeta usiyejua chochote ndio utaamini zile propaganda za Magufuli
Kwa makusanyo ya kodi ya nchi hii, kamwe huwezi kujenga bila kukopa
Alikuwa akikusanya bilioni 1400 kwa mwezi (trilioni 1.4)
Katika hizo, bilioni 700 zilikuwa zinatumika kulipa mishahara ya wafanyakazi
Bilioni 600 kulipa riba na madeni ya nje
Bilioni 100 kwenye elimu bure na mengineyo
Halafu utekeleze mradi wa trillioni 7 kwa pesa za ndani? Zipi hizo?
Yote kwa yote vitu tume viona na vipo, sasa hivi wadogo zetu wana teseka mpaka sasa hawaja pesa mikopo watoto wakike wana jiuza tu uko Dar kwa bei ya mihogo
 
Mjinga tu ndio alishindwa kumuelewa magu. Alichomaanisha kama wanaweza kukuibia mabilioni ya madini ukidanganywa ni mchanga tunahitaji kuamka usingizini tuweze kua nchi tajiri.
Wapi mliibiwa madini mkaambiwa ni mchanga
 
Yote kwa yote vitu tume viona na vipo, sasa hivi wadogo zetu wana teseka mpaka sasa hawaja pesa mikopo watoto wakike wana jiuza tu uko Dar kwa bei ya mihogo
Ndiyo vizuri, hii itapunguza ubakaji na watoto kunajisiwa kingono
 
Aliyesema JPM alitumia unyang'anyi ninampinga kwa nguvu zote. Sasa akiona account iliyonona ambayo mwenyewe hana maelezo ya kutosha, atarudisha serikali ili zisaidie wewe mlala hoi uliyehujumiwa. Huo sio wizi ila ni kumrudisha pesa iliyoibiwa serikali. Wale waliosaliti Tz akichukuwa hizo pesa amenyang'anya? Alifanya hivyo kwa uzalendo wa hali ya juu. Aliwatapisha watu mapesa waliyoiba. Lala salama baba, ama kweli watu wema hawaishi mda mrefu.
Mbona makampuni awajawai kusema wameporwa pesa zao mfano Matajiri wa viwanda vya Nondo, rangi, mabati, maji na juice sasa wawataje walio porwa pesa zao, kama alikuwa ana wapora ni vizuri kwasababu Tanzania tume porwa sana na kama alikuwa ana wapora nampongeza kwasababu alikuwa akijenga kwaajili ya watanzania wote.
 
Na kwa kauli na reactions zake kuhusu mikopo inaonesha wazi kuna mengi tusiyoyajua kuhusu ukopaji wa awamu hii na ile iliyopita. Kwanini ajistukie sana kwenye mikopo ikiwa na wengine walikopa kama yeye? Kwanini awachukulie hatua wanaozungumzia kuhusu kukopa sana?
Kwanini awatake watu wasifie kile kilichofanyika/kinachofanywa kupitia mikopo? Kuna nini cha zaidi nyuma ya hiyo mikopo?
Tatizo anakopa na wananchi atuoni anacho kufanya bora tilioni 20 alizo kopa bora angenunua treni ya kisasa new model ya umeme wananchi tusige chukia mikopo yake,Magufuli ata kama alikuwa anakopa wananchi hawakuwa na asila na mikopo yake kwasababu mageuzi tuli yaona kwa kipindi kichache tu, yani ata angekopa tillioni mia wananchi tusige hoji kwasababu tunge panda treni za umeme na tunge pita juu ya madaraja mazuri na wadogo zetu wasinge cheleweshewa mikopo yao
 
Sio Habari zinazunguka lakini ndiyo ukweli

1. Deni la wastaafu limelipwa ni 2 trillion
2. Mkopo wa bei rahisi wa Covid Mama katumia kujenga madarasa
3. Magufuli alikopo kwa muhula wa kwanza wa reli na Samia kakopa kwa mihula ya pili na wa tatu
4. Bwawa na Mwalimu Nyerere lilikuwa halijalipwa lote Mama amekopa kulipia
5. Uwekezaji kwenye kilimo 600B

Tukiacha mengine kama ongezeko la mishahara zaidi ya 20% ambako wananchi ndiyo wamedai na wakati wa Magu hakuongeza mishahara.

Sasa mlitaka miradi ifanyike na pesa zipi hasa wakati hamtaki tozo zaidi. Njia pekee ni kukuwa kwa uchumi na ni lazima uwekezaji huo ufanyike ili kodi ziongezeke. Lakini Magu alikuwa anachukuwa pesa za watu bank kulipia miradi hii haikuwa sahihi.
Watanzania wana pesa gani mpaka Serikali ichukue ilipie miradi mikubwa, nchi hii Matajiri ni Raia wakigeni Watanzania ni wachuuzi tu ndani ya nchi yao.
 
Lakini aliongelea umuhimu wa kujitegemea na akaamua kuanza miradi mikubwa kwa hela za ndani. Aliamini wakiona tumeanza hiyo miradi mikubwa wakopeshaji watakubali kutukopesha jambo ambalo likawa sahihi.
Hapo kwenye hela za ndani ndiyo alikuwa anawabagaza MBUMBUMBU kama nyinyi na mnpigia makofi. Wenye akili tulijuwa anakopa
 
Aliyesema JPM alitumia unyang'anyi ninampinga kwa nguvu zote. Sasa akiona account iliyonona ambayo mwenyewe hana maelezo ya kutosha, atarudisha serikali ili zisaidie wewe mlala hoi uliyehujumiwa. Huo sio wizi ila ni kumrudisha pesa iliyoibiwa serikali. Wale waliosaliti Tz akichukuwa hizo pesa amenyang'anya? Alifanya hivyo kwa uzalendo wa hali ya juu. Aliwatapisha watu mapesa waliyoiba. Lala salama baba, ama kweli watu wema hawaishi mda mrefuYes yes
 
Naona wewe ndio unahitaji kuelimishwa vinginevyo ujinga unakutesa.
Hebu fikiri mamilioni ya watz bado wanamwamini magufuli kiasi likiwekwa jina lake na la mtu mwingine yeyote atashinda uchaguzi.
Unaongea nini , Kama alikubalika KWa nini aliiba kura? Acheni mapambio ya ajabu, mwendazake alikua janga la taifa
 
Back
Top Bottom