TikTok2021
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 690
- 1,060
kwa wafanyabiashara gani wa maana waliopo ambao walinyang'anya na pesa ikatosha kufanya maendeleo??????hata awamu ya tano ilikopa msitake kukuza watu bureJPM alikuwa anafanya unyang'anyi. Wafanyabiashara walikuwa wanaibiwa kutwa. Yani alikuwa hafai.