Anasema anajenga kwa kukopa, Magufuli alitaka tujitegemee kwa kiasi fulani kujenga

JPM alikuwa anafanya unyang'anyi. Wafanyabiashara walikuwa wanaibiwa kutwa. Yani alikuwa hafai.
kwa wafanyabiashara gani wa maana waliopo ambao walinyang'anya na pesa ikatosha kufanya maendeleo??????hata awamu ya tano ilikopa msitake kukuza watu bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…