Anasema hatuwezi kufanya mapenzi mpaka nimuoe, nifanyeje?

Na ni wanaume wachache sana ambao wako tayari kusubiria ndoa ndio aichape

Wanawake wanapitia kipindi kigumu sana, kwa sababu mwanamke akimbania mwanaume

Mwanaume huyohuyo atamtafuta mwanamke mwingine ambaye atampea kabla ya ndoa na kuna uwezekano wa kufanya naye maisha

Huyu manzi wa no sex until marriage ataendelea kusubiria sana

Ndio maana wanawake wengi wanajaribu kumpea kwanza halafu aone uelekeo wa mwanaume jamaa akihit na kurun anajaribu kwa mwingine na mwingine kumbe ndio anafanywa malaya mdogo mdogo mpaka anakubuu

Mwanaume mwenye kiherehere ambaye atamfanya huyo mwanamke mke atakuwa ameoa malaya

Ndio maana ndoa za siku hizi zimekuwa fekero sana
 
Utapoteza muda wako hapo, songa mbele kama injili ya Yohana mbatizaji. Genuine desire cannot be negotiated.
 
Kama sio bikra mpotezee.
 
Kama ni bikra sawa
 
Muoe.
 
Chakufanya wewe muoe tu ili uweze kufanya nae mapenzi bila hivyo mapenzi atakua anaendelea kuwapa ambao hawata muoa.
 
Kama lengo lako ni kumuoa basi msikilize...
Kama ni kufanya nae ngono tu basi muache...
 
Hiyo ni dalili tosha mpenzi wako ana mwanaume mwingine anayemtosheleza kwa sex hajakuelewa huyo pita hivi usiwekeze pesa hapo
kwanini umewaza hivi? si kila mwanamke anayekataa sex ana mwanaume mwingine, hivi unajua sex sio hitaji la muhimu kwa mtoto wa kike? unajua mwanamke anaweza kaa mwaka au miaka bila sex lakini sio mwanaume??
 
Nimewaelewa masela na sina cha kupoteza kuanzia leo naachana nae na natafuta mwanamke mwingine
 
unajua mwanamke anaweza kaa mwaka au miaka bila sex lakini sio mwanaume??
acha vichekesho mkuu, ivi unajua Mwanamke haijalishi ni bikra au sio bikra ila akikaribia siku za hedhi huwa anashikwa na hamu ya kufanya mapenzi ambayo haielezeki,

Nimekupa Code hiyo itumie.
 
Mwisho ukimkuta ana jinsia mbili utafanyaje? Na jinsia ya kiume ndiyo inafanya kazi zaidi. Kama una uhakika kuwa atakuwa mke wako sex ni halali yako. Basi utakuwa unajisaidia nje ukiwa unasubiri ndoa.
 
acha vichekesho mkuu, ivi unajua Mwanamke haijalishi ni bikra au sio bikra ila akikaribia siku za hedhi huwa anashikwa na hamu ya kufanya mapenzi ambayo haielezeki,

Nimekupa Code hiyo itumie.
Kwani kupandwa na hamu ndio kufanya mkuu?
 
Unataka kumuambukiza magonjwa ya zinaa? Mbona unakomalia sana?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…