Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Na ni wanaume wachache sana ambao wako tayari kusubiria ndoa ndio aichapeWadada wote wangekuwa hivyo vidume tungenyooka, ndivyo inavyotakiwa.
Tatizo linaweza kuwa;
1. Unanyimwa wewe na yupo anakula na kusaza.
2. Unataka kula na kushiba, unawe mikono usepe..yeye anataka mtu rasmi kitu ambacho ni chema sana.
3. Unavumilia ukijua natunziwa nikija kuoa nikutane na barabara mpya, ooooh siku ya siku unaishia kujuta.
Uncertainties ni nyingi sana.
Wanawake wanapitia kipindi kigumu sana, kwa sababu mwanamke akimbania mwanaume
Mwanaume huyohuyo atamtafuta mwanamke mwingine ambaye atampea kabla ya ndoa na kuna uwezekano wa kufanya naye maisha
Huyu manzi wa no sex until marriage ataendelea kusubiria sana
Ndio maana wanawake wengi wanajaribu kumpea kwanza halafu aone uelekeo wa mwanaume jamaa akihit na kurun anajaribu kwa mwingine na mwingine kumbe ndio anafanywa malaya mdogo mdogo mpaka anakubuu
Mwanaume mwenye kiherehere ambaye atamfanya huyo mwanamke mke atakuwa ameoa malaya
Ndio maana ndoa za siku hizi zimekuwa fekero sana