Anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na mwanafunzi chumbani kwake saa tano usiku

Hii case itakua na mambo mengi sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda zobaaa, mwingne anapewa 30k na hastukiwiiii.
Wwe inaonekana ulianzaa kugongwa ukiwa mdogo sana labda ulikua na Miaka 7 ndiyo maana unaona katoto ka miaka 12 ni Mtu mzima sana! Ila kwa makuzi ya watu masini au uswahilini vitoto vidogo kutembea na watu wazima mnaona ni Jambo la kawaida kwa sababu ya Umasikini,kwenu nyinyi as long kuna pesa mko tayari kufanya lolote lile hata Kama ni uvunjifu wa maadili wala hamjali mradi mpate pesa tu
 
Pesa kwan, mengine baadae. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fitina hizo ni kwa manufaa gani?
 
Aende jela miaka 60 na viboko juu,
Shenzi zake na huyo binti apate wataalam wa saikolojia wamuweke sawa akili yake, amekua abused akiwa mdogo sana hiyo trauma isije ikamtesa ukubwani.
Usipende kuhukumu, hii ni planned move na Sio bahati mbaya, kinachoonekana huyo kaka WA Watu ni mcheshi na huyo mtoto anapenda kucheza na simu, anytime anazuka chumbani ankle the naomba simu nicheze game!! Ankle then mazoea!! Jiulize hizo picha ni za kingono!? Maybe no, Sasa mtoto anazoea kupitiliza na ucheshi unakuponza, hao dada WA Binti mdogo huenda ndio walimtaka huyo kijana akawazingua nao wakamtafitia hao mapolisi, what coincidence mtoto atoke nje na Polisi hapo hapo wapo!? Huyo mtoto ndio WA kumuokoa huyo kijana Kwa kusema Ukweli, ni Mkubwa WA kutosha kuweza kutambua uzito WA kumbambikizia Mtu kesi kubwa kama hiyo, hao dada zake huenda Wana donge la kukataliwa
 
Mkuu case tayari ipo mikononi mwa DC mzee na ndio kaishikilia, na ishaenda mpaka kwenye media, mimi na wewe tubaki watazamaji tu kwa maana bongo hii lolote linawezekana
 
MNGONI ngono kwake ni sawa na MBUNA DAMU, huwezi tenganisha.
MMASAI na RUBEGA lake.
JAMII ichukue hatua yenyewe na si kutegemea serikali.
Utaratibu wa kuchukua sheria mkononi unweza kusaidia.
 
Kama hayo yote yanahusika hii kesi bado ngumu. Maana daktari vipimo vyake vinasema kuwa dogo kaingiliwa ila dogo anakataa
Angalia tena hiyo video. Wanasema badae huyo mtoto alikubali kutumikishwa kingono na mtuhumiwa. Na zimeonekana picha zao za pamoja kwenye simu ya jamaa. Kazi anayo.
 
Aiseee, angekuwa amekamata umri wa Ester tungemtetea, ila miaka 12 kweli ? Huyo wambake tu na yeye
kwa wilaya hiyo umri huo ni mtu mzima sana tena inawezekana keshawahi tembea na waume za watu zaidi ya wawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…