Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Hii case itakua na mambo mengi sanaAcha tuone patamu sana hapo.
Ingekuwa ni mchezo familia ya binti wameucheza ili wapige hela za mshikaji kama baadhi ya familia za wenyeji wa Singida zilivyokuwa zinawafanyia walimu wapya, dogo angesema kuwa ameingiliwa
Inaonekana kuna watu tu wa nje wamechoma hii kitu