Anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na mwanafunzi chumbani kwake saa tano usiku

Hivi nyie mnajua kubaka kubaka ni kumwingilia kwa nguvu bila ridhaa yake. Huyu binti kajipeleka mwenyewe kuinjoi utamu wa de libolo. Vitu kama hivi ni vya kukaa familia za pande zote mbili myajenge yaishe fidia ilipwe kijana aonywe maisha yaendelee

Haya matamshi ni ya kishenzi na kishetani! Ni kiumbe mnajisi watoto tu hasie na nafsi wala roho ya utu atakaethubutu hata kuwaza kwamba Binti wa miaka 12 anao uwezo wa kichanganua ulaghai na udanganyifu ama uwezo wa kuiruka mitego iliyopo mbele yake tangu kuumbwa kwa mabibi zake!

Tusipende kutumia hisia zetu binafsi kuhukumu matukio, tunakosea sana, tunawapa nafasi washenzi waendelee kuharibu huku waja wema wakiteseka. Ni laana kuangamiza roho za watoto, laana kubwa!

Hii kasumba ya kutetea wanaume na wanawake wanaofanya ngono na watoto wadogo Kama ni haki yao ipo siku itawaamsha Pedophiles kudai nao haki zao za kudhulumu nafsi na roho za watoto!

The future is scary indeed
 
Unaona ushaanza kutamani. Haya mambo matamu asikwambie mtu anachosema cocastic ni sahihi kabisa. Mimi na Mamu tulikuwa na kaboksi ketu kabisa tunakalaza chini tunafanya yetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nilikua nabeba kikoii, natandika chinii.

Afu yeye anabebaa makopo ya maji, tukimaliza tunaosha kunako, fastaa hao tunaachana mdo mdo, wakati huo hata necta ya la 7 siijui inafananaje.
 
Pombe ya mnazi imemtuma
 
Katoto hakajabakwa mkuu kalikuwa kwa mpenzi wake
 
Hospitali wamepata DNA ya jamaa? Tz (Tunduru)ina vipimo hivyo?
 
Kwel usije kusema jela hutakanyqga kwakua ww n mwema sana au unafata sheria sana, jamaa hana hil wala lile kama vile analiona fail la 30 yrs kwa ubakaj na unyanyasaj wa kjnsia Ujaenda jela apo?

Ndio mana siku iz wanasema Roho nzuri sio sifa tena nikujitafutia matatizo na watu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…