Anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na mwanafunzi chumbani kwake saa tano usiku

Anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na mwanafunzi chumbani kwake saa tano usiku

1. Vipimo gani vya hospitali vilivyoonyesha specifically kuwa mtuhumiwa alikuwa akimuingilia?- What if alishabikiriwa na watu wengine?.

2. Inawezekana vipi serikali immediately iwe on time kumfumania mtuhumiwa, what if mtuhumiwa ametengenezewa setup na maadui zake ili kumbambikizia kesi?

Hapa uchunguzi ufanyike, tena wa kina.
 

Kijana David Ruya mkazi wa Tunduru Mjini – Ruvuma anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na mwanafunzi chumbani kwake saa tano usiku.

Baada ya kukamatwa mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 12 alikana kuingiliwa kimwili na mtuhumiwa huyo, lakini baada ya vipimo ilibainika kuwa walisema uongo huku simu waliyokutwa nayo ikigundulika kuwa na picha mbalimbali walizorekodi wakiwa chumbani.
Halafu itakua jamaa amep8ga U-turn huyu. Ilikua akagonge dada mtu akaamua kunyooka na mtoto....
Aisee, how possible mtu unamdindishia mtoto wa miaka 12? Halafu unapata wapi ujasiri wa kuvua nguo mbele yake?
Mimi nahisi hata nikijitoa akili kuvua nguo, basi nguo zitagoma kuvuka.
 
Tatizo watu wengi kwenye makosa Huwa kiakili anajiweka position ya kutokushikwa au kujulikana lakini Huwa hawajiulizi vipi ikiwa nmekamatwa
 
Waachwe waoane tu mtu mpaka anaenda mwenyewe na anakana kumtetea jamaa maana yake penzi lao liko moto hajabakwa ameridhika
Kumbe nyinyi Wanawake huwa mnaanza Mambo ya Ngono mkiwa bado wadogo sana,miaka kumi na mbili huyo bado ni Mtoto sana, Umasikini isiwe ndiyo ruhusa ya kufanya kila Jambo la kijinga!!
 
Vijijini kuna mambo ya kipuuzi sana. Watoto wengi sana wana watoto. Unakutana na binti mdogo mzuri mara ghafla unashangaa anaitwa Mama Fulani. Wengi wao wakishazaa wanatelekezwa na kuishi kifukara sana. Kama unatafuta mke usijichanganye ukasema unaenda kutafuta kijijini.
 
Back
Top Bottom