Kimasichana nipo nyumba ya kulala wageni, saa Saba usiku nasikia puu paapalalllaalalaa! Kumbe jiwe limerushwa juu ya bati. Baadaye, nikaamka na kumfuata mlizi, na kumuuliza Kulikoni?
Nikaambiwa utakuwa umegundulika umelala chumbani kwako peke yako bila mwenzako wa jisia tofauti!!! Hapa wakazi wamejiwekea utaratibu wageni lazima wawe na wenzi wao ili kulala maeneo haya vinginevyo utoke Nje umtafute mwezi wako wa kulala naye!! Nilishituka sana.
====
Mungu tusaidie tuwalee watoto wetu vizuri kimaadili. Amen.