Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Bila shaka aliwekewa mtego na inaonekana mambo hayo anayo muda mrefu, sidhani mtu kama mkuu wa wilaya tena wakili akurupuke tu saa 5 za usiku kwenda kwenye tukio kama hilo.Kijana David Ruya mkazi wa Tunduru Mjini – Ruvuma anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kukutwa na Mwanafunzi chumbani kwake saa tano usiku.
Baada ya kukamatwa mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 12 alikana kuingiliwa kimwili na mtuhumiwa huyo, lakini baada ya vipimo ilibainika kuwa walisema uongo huku simu waliyokutwa nayo ikigundulika kuwa na picha mbalimbali walizorekodi wakiwa chumbani.
Chanzo: Azam TV
Pole yake akichomoka hapo akatambike.