Anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na mwanafunzi chumbani kwake saa tano usiku

Anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na mwanafunzi chumbani kwake saa tano usiku

Screenshot_20230712-120402_(1).png
 
Iko hivi
Unavoambiwa nchi hii kubwa kikwete hakukosea ,tuamini

Tunduru au kusini mwa Tanzania ni hovyosana uislamu na umila umewamaliza mno watoto wadogo ,darasa latatu Hana bikra yaani ,anabeba mwanaume mama Ake mzazi anamuogopa

Nimeyashuhudia na kuwaona watoto wanaoamka Kwa wanaumezao

Kijiji Moja Maarufu Sana Kwa wilaya ya tunduru kinaitwa LIGUNGA

Mkuu uislam umeingiaje hapo
 
Mkuu wa wilaya kaenda kumfumania jamaa getoo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ila haya maishaa bhanaa...! Mteule wa rais hana majukumu ya maana kabisa yani
 
Mkuu uislam umeingiaje hapo
Vizuri
Rejea kauli ya bakwata Tanzania isifute Sheria ya ndoa ya kuolewa bint akiwa na miaka 14 ,kwamba itapingana na dini

Jamii ,madrasa mnazosema vyuo ndivo yote hay yanaazia huko ,hivyo ukikutana najamii kama ya kusini ambayo ni tipiko uislam watoto wakike wanaharibiwa sana
 
Iko hivi
Unavoambiwa nchi hii kubwa kikwete hakukosea ,tuamini

Tunduru au kusini mwa Tanzania ni hovyosana uislamu na umila umewamaliza mno watoto wadogo ,darasa latatu Hana bikra yaani ,anabeba mwanaume mama Ake mzazi anamuogopa

Nimeyashuhudia na kuwaona watoto wanaoamka Kwa wanaumezao

Kijiji Moja Maarufu Sana Kwa wilaya ya tunduru kinaitwa LIGUNGA
Uislam unaruhusu hayo?
 
Kesi nzito sana hizi ila siku hizi nako zimeingizwa uhuni pia.

Kuna mchezo mpya siku hizi mama mwenye nyumba huwa anawafundisha maksudi mabinti wawe wanaingia vyumba vya wapangaji wa kiume.

Wakiingia vyumbani tu hata kucheki muvi, mama mwenye nyumba anamstua mtendaji wake na polisi wake waje.

Hapo kuchomoka uwe na zaidi ya laki 3, kama wanajua una kazi utatema hata milioni.

Wengine hawaitaji pesa wanakunyoosha tu ukaozee jela
Ilimkuta jamaa yangu Sana.

Bado kidogo Tu nimpoteze maana jamaa nae alikuwa m,bishi dizaini alikaza akagoma kutoa hela hatua ya mwanzoni.

Tulikuja kutoa zaidi ya laki 8 na nusu plus usumbufu na muda kupotea. Na jamaa Bado kidogo taarifa zifike ofisin kuwa amebaka.

Ni Mungu Tu. Ila hivi vibint ni wa kukaa nao mbali, Tuache mazoea nao Kabisa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila hawajafanya vizuri, hata kuziba uso hapana.
Mmh
FB_IMG_16891909450440761.jpg
 
Back
Top Bottom