AsanteAweke skills na experience yake
Watu hawatoi kazi kwa huruma
Bali kwa vigezo
Atangulize kwanza vigezo kuliko kutanguliza kuonewa huruma.
All the best
Mungu anapowapa wengine naye asimpite .
Yupo moro, Ana certificate ya mipango, anahitaji kazi halali itakayomuingizia kipato chochoteYuko wapi ama anapatikana wapi, mbona umeweka hakuna full information,sema umejaribu kutumia ama ku impact emotions za watu za huruma, dunia Haina huruma smt check wazungu wanatuibia wanatuchonganisha tunapigana ili watule kirahisi mno, cheki kule porini chui haoni huruma kumla mtoto wa antelope anayezaliwa muda huo huo.
Dini ilikuja kulainisha watu waliwe vizuri.
Muelezee vizuri na anaweza akafanya nini akamzalishia aliyempatia kazi na anatarajia kulipwa kiasi gani
Kimsingi atafute mtaji ajiajiri lakini kuwaza kuajiriwa kutamcheleweshaYupo moro, Ana certificate ya mipango, anahitaji kazi halali itakayomuingizia kipato chochote
Mkuu habari yako