Anatafuta kazi, aweze kumtunza mtoto wake mwenye ulemavu

Anatafuta kazi, aweze kumtunza mtoto wake mwenye ulemavu

Faith21

Member
Joined
Jul 16, 2021
Posts
19
Reaction score
83
Kuna dada mmoja anamtoto mlemavu wa mguu, mtoto Hana mguu mmoja, huyu dada amesomea certificate ya mipango ,mwanaume aliyemzalisha alimkataa alipojifungua tu Mtoto mlemavu, anaomba msaada aweze kupata kazi ili aweze kumuhudumia mwanae, kila mwaka mtoto anatakiwa abadilishiwe mguu bandia, hali ya kipato chake sio nzuri,, anaomba msaada hata serialità amejaribu kuomba kazi mara nyingi lakini amekosa ajira,
 
Aweke skills na experience yake
Watu hawatoi kazi kwa huruma
Bali kwa vigezo
Atangulize kwanza vigezo kuliko kutanguliza kuonewa huruma.

All the best
Mungu anapowapa wengine naye asimpite .
Asante
 
Yuko wapi ama anapatikana wapi, mbona umeweka hakuna full information,sema umejaribu kutumia ama ku impact emotions za watu za huruma, dunia Haina huruma smt check wazungu wanatuibia wanatuchonganisha tunapigana ili watule kirahisi mno, cheki kule porini chui haoni huruma kumla mtoto wa antelope anayezaliwa muda huo huo.
Dini ilikuja kulainisha watu waliwe vizuri.
Muelezee vizuri na anaweza akafanya nini akamzalishia aliyempatia kazi na anatarajia kulipwa kiasi gani
 
Yupo moro, Ana certificate ya mipango, anahitaji kazi halali itakayomuingizia kipato chochote
 
Back
Top Bottom