Anatafutwa Kijana anaeweza kumpa Mwanamke Love Bite

Anatafutwa Kijana anaeweza kumpa Mwanamke Love Bite

Walisema wahenga hakuna marefu yasiyo na ncha .

Enzi zangu niipate nafasi Kama hii hakika binti angefurahi na roho yake ,kwanza namuangalia kwa macho nikikupa hautanitangaza ?

Namvuta taratibu huku namshika kiuno ,huku busu la taratibu kwenye paji la uso .

Taratibu namnyonya kwanza sikio la kulia .


Aaaaanh ,imetosha aiseee wacha tu nizeeeke na mbinu zangu katili😀
 
Back
Top Bottom