Sasa nyie mie hamnipi mbususu mnategemea nitaongea mema juu yenuπ€£π€£π€£π€£π€£Najua basi hata rafiki yaani post zake zina kauzibe eti. π
Hivi mzabzab tumekukosea nini Ke wa Jf?
π π Wifi yako ni member jf.. na uzi huu anausoma hapa.. anajua kabisa namtafutia jamaa yanguHahahaaa! Muone. π
πππ...Aiiiiii mambo hayo
Ameshaeka oda ya Mc GharaB lakiniππ
Au hayo ntazungumza na muhusika
Carleen ticket ya Dodoma-Dar shingapi
Ntaka nkupandishe ndege first class uje kunionaππ
Meseji imefika π€£π€£π€£π€£
Sifa ninazo zote, nipe hiyo connection chapN:B Picha hazitakiwi, kinachotakiwa mawasiliano tu.
Kuna rafiki yangu, anatafuta mwenza ( life partner ). Mwanamke alie serious aje PM nipe connection na huyo rafikia yangu..
Sifa zake :
Ajira : Ni mtaalamu wa miradi wa kujitegemea
Kipato : Jamaa ana kipato kizuri ( daraja la kati )
Elimu : Ana mawe mawili
Makazi : Dar es Salaam
Imani : Roman Catholic
Haiba: yupo kama bodyguard wa JPM yule black, sio mlevi, hapendi mademu, mpole sana , hatumii fegi.
Sifa za mwanamke:
Naona awe mwanamke yoyote macho ya jamaa yatachuja atapo kutana nae muhusika..
kikubwa awe ni mwanamke .
Asante, kwa mdada ataekuwa tayari anicheki PM nitawaunganisha na jamaa moja kwa moja.
Si ndio sasa π€£[emoji23][emoji23][emoji23]
Daahh mimi ni nani nikatae alichosema dada
Ngoja nizame piemu
Kaa karibu na simu nikupe mrejesho
πππ ninampa muheshimiwa mawasiliano , au jioni kama itawapendeza niwakutanishe wapi sijui..Sifa ninazo zote, nipe hiyo connection chap
π₯΄Nimemaithi kuthikia kithembe chako najuta kupoteza simu yaani unipigiinhata kwa bahati mbaya sikuiz
Sema weyeer unawatishaaa.. kufukua mitaro wewe, ma group sex yani una fantasy za ajabu.. sana lazima wakugwayeee π π π π ... hata Evelyn Salt anakuogopa mkuuSasa nyie mie hamnipi mbususu mnategemea nitaongea mema juu yenuπ€£π€£π€£π€£π€£
Jioni fresh, tusicheleweshe mambo. Mitaa ya Mcity itapendezaπππ ninampa muheshimiwa mawasiliano , au jioni kama itawapendeza niwakutanishe wapi sijui..
π€£π€£π€£π€£Mbona wee nae unafantasy kama zangu lakini wanakuoea mbususuSema weyeer unawatishaaa.. kufukua mitaro wewe, ma group sex yani una fantasy za ajabu.. sana lazima wakugwayeee π π π π ... hata Evelyn Salt anakuogopa mkuu
ππππ... Basi usijali utatuka hapo na muhusika hapo.. mie zangu zitabaki dua.. shela livaliwe suti ivaliwe furaha itawale ππJioni fresh, tusicheleweshe mambo. Mitaa ya Mcity itapendeza
Hakuna hata mmoja πMkuu raraa reree huko PM hujaelemewa na pisi kali, nimpenyezee jamaa hata moja π π
π π π sasa mie kidogo nafichaga fichaga. fantasy zangu zingine.. weyeee unakuwa kama jamaa yake na shetani... lazima wakuogopeπ€£π€£π€£π€£Mbona wee nae unafantasy kama zangu lakini wanakuoea mbususu
Af ananinyanyasa na BDN