Anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa kumchinja mtoto wa mwajiri wake

Chriss Cypher

Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
32
Reaction score
32
Saidia kusambaza picha hii apatikane huyu Binti.

Amemchinja mtoto wa boss wake Goba, mtoto wa miaka minne. Toa taarifa kituo chochote cha Polisi kilicho karibu pindi umuonapo.

Au piga namba.

0654987034/0718359947

---
Dada wa kazi aliyejulikana kwa jina la Clemensia Cosmas (19) mkazi mwenyeji wa Kasulu, Mkoani Kigoma, amemchinja shingoni na kumkata komoreo mtoto wa mwajiri wake Maliki Hashimu(6) maeneo ya Goba kwa Wakutili kisha kutokomea kusikojulikana

IMG-20240716-WA0004.jpg

PIA SOMA
- House girl aliyemkata shingo mtoto wa mwajiri wake akamatwa na polisi.
 
Maandiko matakatifu yalipo sema ishini nao kwa akili yalimaanisha ma house girl. Na sio wake..

Binti wa watu unamtesa humlipi mshahara kwa wakati unamsimanga na kumnyanyasa halafu unamuachi mtoto wako akulelee unategemea nini?

I don't condone mauaji ya wasio na hatia but nawakumbusha watu tuwe makini sana na hawa ma housegirl kwa sababu haya matukio yamekuwa yakijirudia sana na watu hawashituki
 
👏👏👏👏
Nimeunga hoja hakika wanakosea sana mfanyakazi kumnyanyasa nakuwacheleshea mishara+ kuwabagua unadhani hili nijambo zuri?
Watu wabadilike tuwe naupendo.
 
Saidia kusambaza picha hii apatikane huyu Binti.

Amemchinja mtoto wa boss wake Goba, mtoto wa miaka minne. Toa taarifa kituo chochote cha Polisi kilicho karibu pindi umuonapo.

Au piga namba.

0654987034/0718359947

---
Dada wa kazi aliyejulikana kwa jina la Clemensia Cosmas (19) mkazi mwenyeji wa Kasulu, Mkoani Kigoma, amemchinja shingoni na kumkata komoreo mtoto wa mwajiri wake Maliki Hashimu(6) maeneo ya Goba kwa Wakutili kisha kutokomea kusikojulikana
View attachment 3044353

View attachment 3044346
Huyo mdada atakuwa na imani za kishirikina, maana huo mkoa wa Kigoma watu wana mtindio wa ubongo! Inaumiza sana aisee, shenzi kabisa huyo dada!!
 
Maandiko matakatifu yalipo sema ishini nao kwa akili yalimaanisha ma house girl. Na sio wake..

Binti wa watu unamtesa humlipi mshahara kwa wakati unamsimanga na kumnyanyasa halafu unamuachi mtoto wako akulelee unategemea nini?

I don't condone mauaji ya wasio na hatia but nawakumbusha watu tuwe makini sana na hawa ma housegirl kwa sababu haya matukio yamekuwa yakijirudia sana na watu hawashituki
Mkuu usikariri kila house maid anayefanya tukio basi yeye naye kafanyiwa tukio.
Big NO,wengine nahisi kama sio hawana akili vizuri basi washirikina.
Niliwahi shuhuda mdada wa kazi wa jamaa yangu kipindi tuko O level eti anajaribu kumchoma mtoto na pasi 😂😂😂😂😂😂.
Mie nahisi wapimwe akili hawa.
 
👏👏👏👏
Nimeunga hoja hakika wanakosea sana mfanyakazi kumnyanyasa nakuwacheleshea mishara+ kuwabagua unadhani hili nijambo zuri?
Watu wabadilike tuwe naupendo.
Aiseee kama angeiba walau hata kuharibu nyumba kidogo angeeleweka.
Bro uhai tena wa mtoto!?
Acheni utani ninyi,uhai haupimiwi na kitu chochote.
 
Saidia kusambaza picha hii apatikane huyu Binti.

Amemchinja mtoto wa boss wake Goba, mtoto wa miaka minne. Toa taarifa kituo chochote cha Polisi kilicho karibu pindi umuonapo.

Au piga namba.

0654987034/0718359947

---
Dada wa kazi aliyejulikana kwa jina la Clemensia Cosmas (19) mkazi mwenyeji wa Kasulu, Mkoani Kigoma, amemchinja shingoni na kumkata komoreo mtoto wa mwajiri wake Maliki Hashimu(6) maeneo ya Goba kwa Wakutili kisha kutokomea kusikojulikana
View attachment 3044353

View attachment 3044346
Kalifanywa nini haka katoto na hii sura yake ya upole kiasi cha kuchukua haya maamuzi ya kikatili!!
 
Kama mtoto hajafariki basi Mungu amjalie apone, ukatili huu ni toomuch. Ila tukumbushane tu tunaoishi na mabinti hakikisha unaijua vizuri historia yake na unawajua vizuri kwao hii tabia ya kuagiza tu binti anakuja kama kifurushi unchojua tu ni kwamba yeye ni wa sehem fulani aisee itatugharimu.
Tuanchojisahau ni kwamba hawa mabinti wanakuja kukaa na watoto na tunawaachia nyumba siku nzima hivyo inapaswa umjue binti vizuri sio yeye tu na familia yake
 
Back
Top Bottom