Anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa kumchinja mtoto wa mwajiri wake

Anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa kumchinja mtoto wa mwajiri wake

unikosee wewe mama/baba mjengo then niue innocent creature hapana hapana hapana kabisa
Hata si ajabu ni kama mwanamke anachepuka kwa kumkomoa mwanaume wake, unajua ni kwanini sababu hana namna nyingine ya kumuadhibu, ndo hivyo mtoto anabeba adhabu waliyostahili wazazi
 
Saidia kusambaza picha hii apatikane huyu Binti.

Amemchinja mtoto wa boss wake Goba, mtoto wa miaka minne. Toa taarifa kituo chochote cha Polisi kilicho karibu pindi umuonapo.

Au piga namba.

0654987034/0718359947

---
Dada wa kazi aliyejulikana kwa jina la Clemensia Cosmas (19) mkazi mwenyeji wa Kasulu, Mkoani Kigoma, amemchinja shingoni na kumkata komoreo mtoto wa mwajiri wake Maliki Hashimu(6) maeneo ya Goba kwa Wakutili kisha kutokomea kusikojulikana
View attachment 3044353

View attachment 3044346
Ndio mdhara ya kuzaa then tunajifanya tuko busy sana kutafuta pesa na tunaachia watu wengine watulelee watoto. Damu ya huyo mtoto iko kwa mzazi wake. Kama kulea ni ngumu acha kuzaa.
 
Kama mtoto hajafariki basi Mungu amjalie apone, ukatili huu ni toomuch. Ila tukumbushane tu tunaoishi na mabinti hakikisha unaijua vizuri historia yake na unawajua vizuri kwao hii tabia ya kuagiza tu binti anakuja kama kifurushi unchojua tu ni kwamba yeye ni wa sehem fulani aisee itatugharimu.
Tuanchojisahau ni kwamba hawa mabinti wanakuja kukaa na watoto na tunawaachia nyumba siku nzima hivyo inapaswa umjue binti vizuri sio yeye tu na familia yake
Swala sio kujua Historia swala ni kwamba Lea mtoto wako, tunazidiwa akili na wanyama kwenye swala la kulea watoto.

House girl hawesi kuwa mama,
 
Mzazi na yeye ana makosa, mtoto wako mlee mwenyewe unazania kwa nini huko kwa wenzetu watu huacha hadu kazi ili walee mtoto? ni hatari sana kuzaa na kuachia mtu mwingine alee mtoto
Mkuu, take into account maisha yetu ya kitanzania. Huku ukiacha kazi utapata wapi nyingine ? Pia umasikini huku ni mwingi tuna need ya kutafuta kila siku na pia mtoto hakuwa mdogo sana hivo ni wazi kazi ya House girl ilikuwa ki msingi ni kukaa nae tu muda wazazi wapo kazini
 
Dah,nimevaa viatu vya wazazi.

Inauma sana hii,watoto wetu tujitahidi tuwalee wenyewe
 
Mkuu, take into account maisha yetu ya kitanzania. Huku ukiacha kazi utapata wapi nyingine ? Pia umasikini huku ni mwingi tuna need ya kutafuta kila siku na pia mtoto hakuwa mdogo sana hivo ni wazi kazi ya House girl ilikuwa ki msingi ni kukaa nae tu muda wazazi wapo kazini
aende naye kazini, Taasisi nyingi zina huo utaratibu, nenda na mtoto wako kazini na binti wa kumuangalia hapo kazini, jioni mnarudi naye nyumbani. Kuachia hawa Mahouse Girl walee watoto nyakati hizi za kidigitali ni hatari sana.
 
Ni ktu gani kimefanya mkajua ni yeye kamchinja huyo mtoto?.

Je kama ni wahuni au boy friend wa binti ndio kafanya hivyo then akamtishia huyo binti kuwa akibaki msala ni wake, kisha akamshawishi kuondoka naye sababu kipindi chote amekuwa akikataa kutoroka naye kwenda mkoani.

Mimi nimejaribu kuwaza tofauti kidogo hapo. Lolote linawezekana hasa yanapokuja maswala ya uwivu wa kimapenzi.

Ni kosa kusema huyo binti ndio kachinja, huyo atabaki mshukiwa namba moja tu.
 
Maandiko matakatifu yalipo sema ishini nao kwa akili yalimaanisha ma house girl. Na sio wake..

Binti wa watu unamtesa humlipi mshahara kwa wakati unamsimanga na kumnyanyasa halafu unamuachi mtoto wako akulelee unategemea nini?

I don't condone mauaji ya wasio na hatia but nawakumbusha watu tuwe makini sana na hawa ma housegirl kwa sababu haya matukio yamekuwa yakijirudia sana na watu hawashituki
HII UKO SAHIHI SANA, NAJUA WAKO WATAKAO KUPIGA MAWE.
MABINTI WENGI WA KAZI, MBALI YA NAFASI YAO MIHIMU KWENYE HIZO FAMILIA BADO WANA NYANYASIKA SANA.
ITOSHE TU KUSEMA KUNA WATU WANAJUA VIZURI KUWATUMIKISHA NA KUWATESA HAO MABINTI.
 
Hatari sana, roho ya kinyama iliyopitiliza hii.
Aisee...Roho ya kikatili ....litakuwa litoto la kada mtiifu wa CCM tu hili lichinjaji.....:HALI YA MALAIKA HUYO BASI....TAARIFA INAELEA....?Hivi unatendeaje ukatili kiumbe asiye na uwezo wa kujitetea/ kujilinda???
 
Hata si ajabu ni kama mwanamke anachepuka kwa kumkomoa mwanaume wake, unajua ni kwanini sababu hana namna nyingine ya kumuadhibu, ndo hivyo mtoto anabeba adhabu waliyostahili wazazi
sasa ndo umkatili namna hio,, si bora uibe ukimbie tu,,kujikata tu kidole panavouma🙌🏾🙌🏾mi ndo hata kuku sichinji.
 
👏👏👏👏
Nimeunga hoja hakika wanakosea sana mfanyakazi kumnyanyasa nakuwacheleshea mishara+ kuwabagua unadhani hili nijambo zuri?
Watu wabadilike tuwe naupendo.
Beki 3 na yeye ni Mfanyakazi na yeye anashikwa na upwiru na yeye anahitaji kupekewa moto taratibu Ila sio kupigwa lakini pia baadhi wamekua na mihangaiko ya mioyo yao kuanzia huko walipotoka visa ni vingi lakini tusiegemee upande mmoja tuangalie na upande mwingine wa boss je anaonyesha upendo je amuongelei maneno makali je hamtengi na wengine je hampi haki sawa na wengine je hamuwekei mazingira salama ya utendaji kazi wake je aonyeshi huruma kwa kumrundikia kazi lukuki tofauti na mkataba unavyosema mkataba unasema atapikia na kulisha mtoto kisha atashinda nae tu lakini anajikuta anabebeshwa mizigo mwingine ya familia afue nguo za Watoto wote afue nguo na Mama afue nguo za Baba ma-jeans magumu apike chakula cha familia asubuhi Mchana usiku ahakikishe wote wameshiba na kutabasamu ahakikishe Watoto wote wameoga na kuvaa nguo safi na kupendeza Muda wote mtoto akiumwa yeye ndio awe ana-monitor Muda gani mtoto apewe Dawa asubuhi yeye wa kwanza kuamka usiku yeye ni wa mwisho kulala ahakikishe sebule inapendeza ili kuvutia Wageni ahakikishe mtoto akinya anamtawaza na kuahakikisha anafua nguo zenye uhalo Mama na Baba hawajui chochote kuhusu Watoto

Halafu Mwisho wa Mwezi analipwa afu 60 halafu hio afu 60 Bora alipwe anaambiwa anatunziwa atalipwa baada ya Miezi 6, sasa hiki ni nini? Beki 3 hata Pesa ya kununua Chupi mpya hapewi mshahara unakaa kwa boss baada ya Miezi 6 anapewa mshahara wa Miezi 2 km sio unyanyasaji wa kijinsia ni nini?

Pole sana kwa watoto wote mtoto anaelea na mtoto anaelelewa, kiumri hao wote ni watoto hapo na wakienda kisheria boss aliemuajiri huyo Mfanyakazi ana kesi ya kujibu maana ni under 18
 
Ni ktu gani kimefanya mkajua ni yeye kamchinja huyo mtoto?.

Je kama ni wahuni au boy friend wa binti ndio kafanya hivyo then akamtishia huyo binti kuwa akibaki msala ni wake, kisha akamshawishi kuondoka naye sababu kipindi chote amekuwa akikataa kutoroka naye kwenda mkoani.

Mimi nimejaribu kuwaza tofauti kidogo hapo. Lolote linawezekana hasa yanapokuja maswala ya uwivu wa kimapenzi.

Ni kosa kusema huyo binti ndio kachinja, huyo atabaki mshukiwa namba moja tu.
Mmmh nadharia yako haiingii akilini mkuu.
 
Back
Top Bottom