Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Hawaelewagi hawa, wakiulizwa watasema nilikua naishi nae kama mdogo wangu kumbe uongo mtupu.Mara nyingi wanawake wanawanyanyasa house girls na wanakuwaga na mdomo sana kuwasimanga house girls wanajiona wao ndyo ma boss wakati mshahara wa huyo housegirl analipa mwanaume,
Hii kitu nadhani huwa ni chanzo pia,Wananwake mnaoishi na mahouse girl kuweni na huruma na watoto wa watu ninyi ndiyo mnapandikiza chuki kwa hao mabinti wa kazi..
Si ajabu dharau zilizodi wakamuambukiza hadi mtoto kua anamjibu vibaya na hamuheshimu dada wa kazi.