Anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa kumchinja mtoto wa mwajiri wake

Anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa kumchinja mtoto wa mwajiri wake

Mimi ndio maana nilishakataa kabisa wadada wa kazi wadogo, nawachukua wadada walionizidi umri na wenye watoto, kiasi wanakuwa na upendo na huruma kwa watoto tofauti na hawa mabinti wadogo.

Mabalaa mengine hayakwepeki ila ni vyema kuchukua tahadhari.
Mungu ampe nafuu mtoto mapema, Amen.
 
Mkuu usikariri kila house maid anayefanya tukio basi yeye naye kafanyiwa tukio.
Big NO,wengine nahisi kama sio hawana akili vizuri basi washirikina.
Niliwahi shuhuda mdada wa kazi wa jamaa yangu kipindi tuko O level eti anajaribu kumchoma mtoto na pasi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mie nahisi wapimwe akili hawa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi ndio maana nilishakataa kabisa wadada wa kazi wadogo, nawachukua wadada walionizidi umri na wenye watoto, kiasi wanakuwa na upendo na huruma kwa watoto tofauti na hawa mabinti wadogo.

Mabalaa mengine hayakwepeki ila ni vyema kuchukua tahadhari.
Mungu ampe nafuu mtoto mapema, Amen.
Wenzio wanataka wadogo wadogo Ili wawamanipulate vizuri na kuwacontrol vema.pia hawataki wakubwa sababu wanaishi na waume zao watawaibia😄
 
👏👏👏👏
Nimeunga hoja hakika wanakosea sana mfanyakazi kumnyanyasa nakuwacheleshea mishara+ kuwabagua unadhani hili nijambo zuri?
Watu wabadilike tuwe naupendo.
Si maboss wote, kuna wafanyakazi wengine hata uwatreat vizuri vipi hawana shukurani mwisho wa siku ni kukuumiza tu.
 
Hata kama unacheleweshewa mshahara mwaka mzima huwezi kuwa na raho kama ya mnyama,atafutwe akaozee jela nyambafu.
 
Tuna taarifa ya upande mmoja tu hatujui mwajiri alifanya nini hadi uyu dada awe katili kiasi ichi
 
Hizi nyingine ni roho tu zinapandikizwa na watu wabaya dhidi ya familia.
 
Hawa mabinti wa kazi wengi wananyanyaswa sana shida sijui ni nini kama mtu umepona huwezani naye SI umrudishe ulipomtoa au umpe chake aondoke maana ukishaanza kuzinguana na mfanyakazi wa ndani basi tegemea tukio lolote muda wowote tena utalia na kusaga meno maana hawanaga show mbovu hao ukimzingua anakuzingua mara kumi zaidi
 
Pole sana kwa familia, ila siku hizi ziko daycare unamuacha mtoto anashinda unamfuata baadaye, wanawake ifike hatua muache uvivu wa kuajiri hao mabinti saizi maisha ni mfurugo
 
hatari sana, ila wazazi tuchukue muda japo kidogo kukaa na wasaidizi wa kazi majumbani mwetu kabla ya kuanza kumuacha na watoto ili angalau kumjua kwa ufupi tabia zake.
 
Hawaa wakuawafanya kuwa nyumba ndogo tu ili wasilete kharaha
 
Saidia kusambaza picha hii apatikane huyu Binti.

Amemchinja mtoto wa boss wake Goba, mtoto wa miaka minne. Toa taarifa kituo chochote cha Polisi kilicho karibu pindi umuonapo.

Au piga namba.

0654987034/0718359947

---
Dada wa kazi aliyejulikana kwa jina la Clemensia Cosmas (19) mkazi mwenyeji wa Kasulu, Mkoani Kigoma, amemchinja shingoni na kumkata komoreo mtoto wa mwajiri wake Maliki Hashimu(6) maeneo ya Goba kwa Wakutili kisha kutokomea kusikojulikana
View attachment 3044353

View attachment 3044346
Waha bwana
 
Nilimsikiliza mama mkubwa wa dogo anasema wakati mama kumbeba mwanaye kabla mauti akasema dada ndiyo amenikata
NIMEFUATILIA HUYU MTOTO HAJAFARIKI ANAPATIWA MATIBABU
HOSPITALI YA MUHIMBILI
BAADA YA KUHAMISHWA KUTOKA KATIKA HOSPITALI YA MLOGANZILA.
 
Mara nyingi wanawake wanawanyanyasa house girls na wanakuwaga na mdomo sana kuwasimanga house girls wanajiona wao ndyo ma boss wakati mshahara wa huyo housegirl analipa mwanaume,
Hii kitu nadhani huwa ni chanzo pia,Wananwake mnaoishi na mahouse girl kuweni na huruma na watoto wa watu ninyi ndiyo mnapandikiza chuki kwa hao mabinti wa kazi..
 
Tafuta binti unaijua famili yake vizuri, ishi nae vyema.

Tatizo watu wa mjini mnaokota okota sana, na sometime wala huhitaji dada wa kazi ila uvivu tu unakufanya utafute binti wa kazi.
 
Back
Top Bottom