Anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa kumchinja mtoto wa mwajiri wake

Anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa kumchinja mtoto wa mwajiri wake

kigoma sikuhizi ndo kuna pisi kali hivi...!! kitoto kama hicho kilitakiwa kipate mtu kama mimi kiwe busy mapenzi hata kisingehangaika kufanya tendo lakikatiri kiasi hicho!
 
Saidia kusambaza picha hii apatikane huyu Binti.

Amemchinja mtoto wa boss wake Goba, mtoto wa miaka minne. Toa taarifa kituo chochote cha Polisi kilicho karibu pindi umuonapo.

Au piga namba.

0654987034/0718359947

---
Dada wa kazi aliyejulikana kwa jina la Clemensia Cosmas (19) mkazi mwenyeji wa Kasulu, Mkoani Kigoma, amemchinja shingoni na kumkata komoreo mtoto wa mwajiri wake Maliki Hashimu(6) maeneo ya Goba kwa Wakutili kisha kutokomea kusikojulikana
View attachment 3044353

View attachment 3044346

Siamini kabisa katika dhana ya kumtafuta wala kumfunga, it is too late, it is done, that’s it, ni mtoto, anasamehewa basi!
 
ni kweli na najua pia,,ila jamani kuchinja kwel hebu imagine,,sema mabos nao wapumbavu yani wanamtesa then wanamwachia mtoto
Kuna Siri ipo nyuma ya pazia acha Polisi waje na maelezo watasema tu nini kimesababisha
 
Ukiwa unakaa na house girl unbidi kukaa nae vizuri Sana.

Mlipe mshahara mzuri
Mnunulie mavazi mazuri
Mpe Uhuru wa kutoa hata maamuzi katika nyumba yako.

Nimefatilia Sana haya matukio ya kikatilili husababishwa na wenye nyumba kukosa HEKIMA .

MTU kuwa mfanyakazi wa ndani unaishia kumlipa 20-50k huku unampigisha Kazi ambazo hazina mpangilio.
 
Swala sio kujua Historia swala ni kwamba Lea mtoto wako, tunazidiwa akili na wanyama kwenye swala la kulea watoto.

House girl hawesi kuwa mama,
Inapaswa kuwa hivyo mkuu lakini kuna mazingira yanalazimu utafute msaidizi. Baba na mama wote wanadamka asubuh kutafuta shilingi lazima watafute msaidiz unless tuige utaratibu wa waarabu mama ni mtu wa kutunza familia tu no kufanya kazi
 
Kuna mmoja yeye alikodi bajaj kisha akabeba tv,redio na deki akaanza mbele. ila ni bora umwajiri dada wa kazi ambaye umri kidogo umeenda na awe anatokea kwao/kwake anakuja asubuh anapiga kazi ikifika jioni anaondoka...
 
Wachangiaji wote mmeshamuhukumu huyu binti kama mnamjua na mlikuwepo, kuna mtu yoyote kathibitisha ukweli wa hii habari au tunafuata mkumbo tu km Jk alivosema wabongo tulivyo? Mnajuaje ukweli au mvuta bangi mmoja kaamua kuchafua mtoto wa mtu au kachukua picha facebook ya mnigeria na kuzua uongo akapost?? Go figure wabongo, keshokutwa unaweza kukuta picha yako inazunguka na mtu kaandika "afumaniwa uchi makaburini" na wabongo wengine wakaendelea kuhukumu tu kama kawaida yetu.
 
Back
Top Bottom