Amemchinja mtoto wa boss wake Goba, mtoto wa miaka minne. Toa taarifa kituo chochote cha Polisi kilicho karibu pindi umuonapo.
Au piga namba.
0654987034/0718359947
---
Dada wa kazi aliyejulikana kwa jina la Clemensia Cosmas (19) mkazi mwenyeji wa Kasulu, Mkoani Kigoma, amemchinja shingoni na kumkata komoreo mtoto wa mwajiri wake Maliki Hashimu(6) maeneo ya Goba kwa Wakutili kisha kutokomea kusikojulikana
Maandiko matakatifu yalipo sema ishini nao kwa akili yalimaanisha ma house girl. Na sio wake..
Binti wa watu unamtesa humlipi mshahara kwa wakati unamsimanga na kumnyanyasa halafu unamuachi mtoto wako akulelee unategemea nini?
I don't condone mauaji ya wasio na hatia but nawakumbusha watu tuwe makini sana na hawa ma housegirl kwa sababu haya matukio yamekuwa yakijirudia sana na watu hawashituki
Maandiko matakatifu yalipo sema ishini nao kwa akili yalimaanisha ma house girl. Na sio wake..
Binti wa watu unamtesa humlipi mshahara kwa wakati unamsimanga na kumnyanyasa halafu unamuachi mtoto wako akulelee unategemea nini?
I don't condone mauaji ya wasio na hatia but nawakumbusha watu tuwe makini sana na hawa ma housegirl kwa sababu haya matukio yamekuwa yakijirudia sana na watu hawashituki
Amemchinja mtoto wa boss wake Goba, mtoto wa miaka minne. Toa taarifa kituo chochote cha Polisi kilicho karibu pindi umuonapo.
Au piga namba.
0654987034/0718359947
---
Dada wa kazi aliyejulikana kwa jina la Clemensia Cosmas (19) mkazi mwenyeji wa Kasulu, Mkoani Kigoma, amemchinja shingoni na kumkata komoreo mtoto wa mwajiri wake Maliki Hashimu(6) maeneo ya Goba kwa Wakutili kisha kutokomea kusikojulikana View attachment 3044353

Mkuu usikariri kila house maid anayefanya tukio basi yeye naye kafanyiwa tukio.
Big NO,wengine nahisi kama sio hawana akili vizuri basi washirikina.
Niliwahi shuhuda mdada wa kazi wa jamaa yangu kipindi tuko O level eti anajaribu kumchoma mtoto na pasi ππππππ.
Mie nahisi wapimwe akili hawa.
Amemchinja mtoto wa boss wake Goba, mtoto wa miaka minne. Toa taarifa kituo chochote cha Polisi kilicho karibu pindi umuonapo.
Au piga namba.
0654987034/0718359947
---
Dada wa kazi aliyejulikana kwa jina la Clemensia Cosmas (19) mkazi mwenyeji wa Kasulu, Mkoani Kigoma, amemchinja shingoni na kumkata komoreo mtoto wa mwajiri wake Maliki Hashimu(6) maeneo ya Goba kwa Wakutili kisha kutokomea kusikojulikana View attachment 3044353
Mbona kabinti Kadogo below 18 kamewezaje kushika KISU na kumchinja mtoto? Au ni KAJINI? Hawa Mercury(Hg) huwa ni shida sana ,wana mambo ya ushirikina mno.
Kama mtoto hajafariki basi Mungu amjalie apone, ukatili huu ni toomuch. Ila tukumbushane tu tunaoishi na mabinti hakikisha unaijua vizuri historia yake na unawajua vizuri kwao hii tabia ya kuagiza tu binti anakuja kama kifurushi unchojua tu ni kwamba yeye ni wa sehem fulani aisee itatugharimu.
Tuanchojisahau ni kwamba hawa mabinti wanakuja kukaa na watoto na tunawaachia nyumba siku nzima hivyo inapaswa umjue binti vizuri sio yeye tu na familia yake