Anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa kumchinja mtoto wa mwajiri wake

Hawaelewagi hawa, wakiulizwa watasema nilikua naishi nae kama mdogo wangu kumbe uongo mtupu.

Si ajabu dharau zilizodi wakamuambukiza hadi mtoto kua anamjibu vibaya na hamuheshimu dada wa kazi.
 
Kamchinja au kamjeruhi Kwa kumkata na kisu shingoni?maana tunaambiwa mtoto anaendelea vizuri hospital,neno kuchinja maana yake ni kutenganisha kichwa na kiwiliwili kwenye eneo la shingoni kutumia kisu au panga
Neno sahihi jingine lingekuwa ni kujaribu kumchinja Kwa kutumia kisu....
 
NIMEFUATILIA HUYU MTOTO HAJAFARIKI ANAPATIWA MATIBABU
HOSPITALI YA MUHIMBILI
BAADA YA KUHAMISHWA KUTOKA KATIKA HOSPITALI YA MLOGANZILA.
Dah Mungu Mkubwa ... Ahsante kwa taarifa
 

 
kuwe na sheria Kali ya kuajiri mdada wa kazi.
Sio unatuma tu nauli uletewe mdada wa kazi hata kwao haupajui.
Kumbe Wana matatizo ya akili ukoo wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…