Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Utakuwa umefanya vizuriNitauza kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa umefanya vizuriNitauza kweli
kama yupo smart muache aje ujue kama na brain yake ipo smartHatari ila nilivyomuona yuko smart sana yaan mm ndio national wa hovyo
Thread ifungwe.Muda wa kujitafuta tunatafuta wanawake, bro usianzishe mahusano kama huna pea za kusupport lifestyle unayoitaka wewe binafsi na aina ya mahusiano unayotaka
Sasa hata godoro huna unataka mtu serious wa nini?Sasa broo unajua ni ile kuchat nikamueleza nataka mtu seriously akakubari
Nacheka lakini naogopaNdio.
Basi uko upande mgumu kidogo. Sasa cha kufanya, kwanza usimlete kwako kwanza kisha fanya juu chini mtafune na ukishamtafuna utamleta kwako.Hapana sikumla mkuu
Sawa umeeleweka mkuu mtoto wa kijaluo kutoka kisumuBasi uko upande mgumu kidogo. Sasa cha kufanya, kwanza usimlete kwako kwanza kisha fanya juu chini mtafune na ukishamtafuna utamleta kwako.
Katika kipindi bado hujamla usijifanye tajiri kabisa na wala usionyeshe umasikini wako wa kutupa! Remain neutral ila ukipata tunda kidogo kidogo ishi maisha yako ya kawaida kabisa
Akikolea atakusaidia kutusua life
NB
Siungi mkono kijana kulelewa na mmama!!
Kuna mtu kasema 'thate festi' bado kindaKwann kaka