Anataka kuja kwangu wakati sina hata godoro nalala chini, kwake nilikwenda nikakuta ana maisha mazuri

Anataka kuja kwangu wakati sina hata godoro nalala chini, kwake nilikwenda nikakuta ana maisha mazuri

Muda wa kujitafuta tunatafuta wanawake, bro usianzishe mahusano kama huna pea za kusupport lifestyle unayoitaka wewe binafsi na aina ya mahusiano unayotaka
Sasa broo unajua ni ile kuchat nikamueleza nataka mtu seriously akakubari
 
Kweli itakuweka huru, tabia ya kuigiza maisha imewaponza wengi sana. Jiamini usiwe mwoga na umshukuru Muumba kwa kile ulichonacho.
 
Hapana sikumla mkuu
Basi uko upande mgumu kidogo. Sasa cha kufanya, kwanza usimlete kwako kwanza kisha fanya juu chini mtafune na ukishamtafuna utamleta kwako.

Katika kipindi bado hujamla usijifanye tajiri kabisa na wala usionyeshe umasikini wako wa kutupa! Remain neutral ila ukipata tunda kidogo kidogo ishi maisha yako ya kawaida kabisa

Akikolea atakusaidia kutusua life

NB
Siungi mkono kijana kulelewa na mmama!!
 
Sawa umeeleweka mkuu mtoto wa kijaluo kutoka kisumu
 
Back
Top Bottom