Kuna mambo yanakera sana aisee yaani mtu unamuambia mimi na wewe tunakaa chumba kimoja na bado anataka kumleta ndugu yake na halafu mimi bado sijajipanga kiuchumi na ukimuelekekeza anasema mimi sitaki ndugu zake
Na ananiambia yeye kuwaleta ndugu zake si laxima aniambie mimi yeye anawaleta tu nimemjibu Wewe kama unatoa wewe chakula basi mlete na kama wewe pia unanitegemea mimi basi ole wako umlete
Na chakushangaza pia anaongea na wanaume wengine usiku wa saa nne na kusingizia ni ndugu zake ukimuuliza hao ni nani anajibu ni ndugu zake na ukimkaripia anasema utanikatazaje kuongea na ndugu zangu? Wakuu hii ni.utaratibu kweli? Kama ndoa yenyewe ndiyo hii i' m off for while.