Anataka kumleta ndugu yake wakati anajua tunaishi kwenye chumba kimoja na pia anaongea na mwanaume mwingine saa nne usiku

Anataka kumleta ndugu yake wakati anajua tunaishi kwenye chumba kimoja na pia anaongea na mwanaume mwingine saa nne usiku

Hivi duniani kuna wanaume wa namna hii. Sasa kitu kama hiko ni cha kuomba ushauri? Una miaka mingapi wewe?
Kuna watu bila ushauri maisha yao hayaendi poa.

Ndio maana kuna watu tumesomea kwaajili ya kiwashauri watu kama hao
 
Dogo unamamavi,,jiandae uende misa ya Mkesha Saa Tatu Usiku,,utubu na mweleze mchungaji/padri hayo matatizo yako sawa!!
 
Nlikuwa najiona weak kwenye mahusiano kumbe kuna wanaume Super-weak🤣🤣
 
Back
Top Bottom