Anataka kurudi baada ya kukimbilia kwao

Anataka kurudi baada ya kukimbilia kwao

Ni miezi 4 sasa tokea mke wangu kukimbia na kuondoka na vitu na kuniacha kama nipo form one. Sasa anataka kurudi ili tuanze maisha mapya kwa sababu tulibahatika kupata mtoto mmoja.

Moyo wangu japo ninampenda ila nikikumbuka dharau, manyanyaso, maneno ya shombo kutoka kwa upande wa kwao nawaza sana. Maana ndoa si watu wawili tu yaani mke na mume, bali ni muunganiko wa familia mbili.

Nina maswali mengi sana ambayo hayana majibu;
~ Anarudi kwangu kwa ugumu wa maisha?
~ Anarudi kwangu kwa ajili ya kulea mtoto?
~ Anarudi kwangu amejifunza kuthamini mume?
~ Au anataka arudi kunimaliza kabisa?

Maana aliondoka kwa kishindo sana.
Ongea na DeepPond atakupa la kufanya
 
Njoo kwa YESU,HUTAJUTA.HUTALALAMIKA,ATAKUFUNDISHA KUVUMILIA NA KUCHUKULIANA.
ATAKUPA MOYO WA DAMU NA ATAKUTOA MOYO MGUMU HUO WA JIWE.
😂😂😂 sista msimamo ni uleule, ila asante kwa injili. Ndoa sio maigizo!
 
Sielewi kabisa anamtumia mtoto kama njia ya kurudi

Mtoto sio kigezo cha Ndoa.
Ndoa ni makubaliano ya upendo baina ya Watu Wawili. Hayo yakivunjika au yakivunjwa ndoa inavunjwa.

Watoto hawahusiki na Ndoa. Ndoa ni Mume na Mke.
Yeye angetakiwa atumie kigezo cha kuwa Bado anakupenda na amekua Makosa yake. Hapo ungemuelewa.
Lakini ogopa matapeli wanaotumia kigezo cha mtoto ATI ndio Ndoa.
Kumaanisha mtoto akikua ndoa imevunjika.

Achana nae huyo.
Mwambie aendelee na Maisha yake. Mlipobakiza ni malezi ya mtoto
 
😂😂😂
Sasa kama unamhitaji si umwambie arudi.
Unaogopa nini?

Wewe ndio unamhitaji alafu unamsingizia kuwa anataka kurudi Wakati wewe ndio unambembelezwa arudi.
Au hauna uhakika na uamuzi wako ndio maana umekuja kuomba ushauri?
Hujui unachokijua kijua soma vizuri kuanzia A to Z na sijaomba msaada wala ushauri kuna uzi nilishawah post umu kuhusu kukimbiwa kisa cha kwanza kabisa
 
Mungu kawakutanisha wore mna mapungufu.kazi yako no kuyaondoa mapungufu ya mwenzako au kuyapunguza.Njoo kwa Mwanaume wa wanaume,njoo kwa Mfalme was wafalme,njoo utolewe moyo wa JIWE uwekwe wa nyama.
NJOO KWA YESU.
Vitimbwi vya shetani ni rahisi kuviepuka dk 1 tu shetani hayupo owa jina la yesu ila vitibwi vya wanawake ni vizito zaidi ya shetani .mwanamke anauwa ila shetani auwi
 
Viatu vyangu vya moto uwezi kuvivaa

Mwanaume wa moto hawezi omba ushauri kuhusu rudisha mke aliyekaa miezi mi 4 kwao, mimi ni siku ya kwanza ya hasira, ya 2 kupumzika ya 3 anarudi, nje ya hapo, atabaki huko milele.
 
Sijaomba ushauri
 
Vitimbwi vya shetani ni rahisi kuviepuka dk 1 tu shetani hayupo owa jina la yesu ila vitibwi vya wanawake ni vizito zaidi ya shetani .mwanamke anauwa ila shetani auwi
NANI KAKUDANGANYA???VITIMBI VYA WANAUME JE???UKITAKA KUISHI NA MKE MIAKA MIA,KUBALI YESU AWE MWALIMU NA MSHAURI WENU.Mungu huwa anachukia kuachana ndo Mana Mimi nakuepusha na huyo shetani anayewaachanisha.Kwa Mungu Kuna KUSAMEHE,kwa shetani HAKUNA.TAFAKARI,CHUKUA HATUA ZA KWENDA KUTUA ZIGO LAKO KWA YESU.ACHA KUTESEKA NA KUUMIZA KICHWA.
 
😂😂😂 sista msimamo ni uleule, ila asante kwa injili. Ndoa sio maigizo!
😂😂😂
Sasa kama unamhitaji si umwambie arudi.
Unaogopa nini?

Wewe ndio unamhitaji alafu unamsingizia kuwa anataka kurudi Wakati wewe ndio unambembelezwa arudi.
Au hauna uhakika na uamuzi wako ndio maana umekuja kuomba ushauri?
Nakubaliana na wewe.Maana kaja na maswali ili tumsaidie kujibu.Tumemjibu na kumfafanulia.SASA KAMA MAJIBU ALIKUWA NAYO,ALIULIZA MASWALI YA NINI???Yaani ni Kama vile yeye ndo alifanya Kosa,Sasa anatafuta huruma za watu
 
Inshort uyo aliondoka na vitu vyangu vya ndani na kwao walimpokea bila ata kupiga simu sasa anataka kurudi ndio nimeuliza ayo maswali sijaja kutia huruma nataka tu muone mbio za wanawake ni fupi tu
 
Ni miezi 4 sasa tokea mke wangu kukimbia na kuondoka na vitu na kuniacha kama nipo form one. Sasa anataka kurudi ili tuanze maisha mapya kwa sababu tulibahatika kupata mtoto mmoja.

Moyo wangu japo ninampenda ila nikikumbuka dharau, manyanyaso, maneno ya shombo kutoka kwa upande wa kwao nawaza sana. Maana ndoa si watu wawili tu yaani mke na mume, bali ni muunganiko wa familia mbili.

Nina maswali mengi sana ambayo hayana majibu;
~ Anarudi kwangu kwa ugumu wa maisha?
~ Anarudi kwangu kwa ajili ya kulea mtoto?
~ Anarudi kwangu amejifunza kuthamini mume?
~ Au anataka arudi kunimaliza kabisa?

Maana aliondoka kwa kishindo sana.
Ugumu wa maisha
 
Mrudishe kwa ajili ya mtoto ila kaa naye ukijua huyu ni mwizi usimpe moyo wako.
 
Ni mtu wa wapi,maadamu hukumfukuza na aliondoka na vitu vyako tafuta usaidizi wa kisheria balozi wako awe anafanamu Hilo jambo,halafu ujue Kuna mwamba yupo nyuma ya Hilo jambo ,tumia muda huu kudodosa majirani na marafiki zake utapata majibu sahihi upate kufahamu sababu iliyomfanya akaondoka ukijua hiyo Kwa kina itakuwezesha kufanya maamuzi yenye usahihi zaidi kuliko kukurupuka.Tumia muda huu kutafakari ni sababu ipi hasa ilimfanya aondoke ,kama ni mtu mwenye tamaa anaweza kuja kukuua au kukufanyia jambo BAYA zaidi
 
1)uwe na uhakika Kwa Nini aliondoka,kama sababu ni umasikini na hujapata pesa mwambie arudi kwao.
2)muulize Kwa Nini anataka kurudi?anapungukiwa na nini akikaa peke yake?
3)Marafiki zake ni watu wa namna Gani?
4)mambo Mengine ni ya kipuuzi ,aliondoka bila ruhusa halafu anahitaji ruhusa wakati anarejea,usiumize kichwa chako na watu wapumbavu
5.alipoondoka wazazi wake walikutafuta au wali respond vipi?
6.Mnandoa kabisa ya kidini au kiserikali?
7.Kama wazazi wake walikaa kimya tafuta mwanamke mwingine oa.
 
Ni miezi 4 sasa tokea mke wangu kukimbia na kuondoka na vitu na kuniacha kama nipo form one. Sasa anataka kurudi ili tuanze maisha mapya kwa sababu tulibahatika kupata mtoto mmoja.

Moyo wangu japo ninampenda ila nikikumbuka dharau, manyanyaso, maneno ya shombo kutoka kwa upande wa kwao nawaza sana. Maana ndoa si watu wawili tu yaani mke na mume, bali ni muunganiko wa familia mbili.

Nina maswali mengi sana ambayo hayana majibu;
~ Anarudi kwangu kwa ugumu wa maisha?
~ Anarudi kwangu kwa ajili ya kulea mtoto?
~ Anarudi kwangu amejifunza kuthamini mume?
~ Au anataka arudi kunimaliza kabisa?

Maana aliondoka kwa kishindo sana.
Your finished Mr.

Anakuja kukumalizia kabisa this time

Mala nyingi Sana wanawakae Wana hizi pigo wakisha ona Kuna vitu ambayo akitoka kwako Ata vipata huona Maisha rahisi akitoka hapo ananza Maisha yake....
Ila akifika huko huona mambo tofaut Sana Maisha Yanakuwa magumu watu wanamchezea Ata Wale walio mshawishi Wana mkimbia kwa shida ndio mana Ana amua kurud Tena a narud Mikono mitupu Ata kama akiondoka na fuso lime jaaa

Kama unaweza kaa nae mbali kama huwez mrudie ili ufingue uzi mwngine sisi tuchangie
 
Inshort uyo aliondoka na vitu vyangu vya ndani na kwao walimpokea bila ata kupiga simu sasa anataka kurudi ndio nimeuliza ayo maswali sijaja kutia huruma nataka tu muone mbio za wanawake ni fupi tu
Ok,Sasa happy nimekuelewa Sana
Ninavyojua nyumbani itakuwa wanamuona mjinga TU,na wanamcheka.
 
Back
Top Bottom