Anataka kuwa mke bora baada ya kunidharau

Nilikuwa na nia ya kuoa kabisa mkuu, na nilimsihi sana kuwa tumetoka mbali ila alikataa.
Basi hiyo nia yako alijua ni 10 yrs nyingine, hapo ulitakiwa kumposa tu au ungeenda moja kwa moja kwa kiongozi wake wa dini, lakini sio kwakuchakazana huko.
 
Hahaha wanawake wapo, nilikuwa namfuatilia kipindi ameniacha.
 
Basi hiyo nia yako alijua ni 10 yrs nyingine, hapo ulitakiwa kumposa tu au ungeenda moja kwa moja kwa kiongozi wake wa dini, lakini sio kwakuchakazana huko.
Dah hapo nilikwama,
 
Miaka kumi unamtumia tu?,Alikuona hueleweki ndio maana akaenda kwa mwingine ,Mwenye makosa ni wewe kumtumia mtoto wa watu zaidi ya miaka kumi ,Ushauri kama unampenda Mchukue muoe ,Kama humpendi angalia namna ya kumsaidia ajiinue kimaisha .BE GENTLEMEN
 
Mwanamke akikuacha lazma akufatilie kila kona kuanzia whatsapp, facebook, insta yani atataka ajue una nini ama umepata demu tena. Akiona unapost majungu tu anajua kakuweza [emoji23][emoji23][emoji23]!

Ana kapost kabwana kake kenye Crown
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] eti ka bwana kake ha ha ha ha .
 
Point, ila nafurahi nikiona anateseka.
 
Nimeshangaa miaka kumi bila kumdunga mimba
 
Inaelekea huko ila haifiki, na pia kwa mwanamke anayekupenda umri sio shida saana,
Usipende kujihusisha na wasiokuhusu.

Huna sababu yoyotr ya kuwa karibu na huyo mwanamke.

Achana nae na focus maisha yako.

Yaani Kaa nae mbali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…