Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Basi hiyo nia yako alijua ni 10 yrs nyingine, hapo ulitakiwa kumposa tu au ungeenda moja kwa moja kwa kiongozi wake wa dini, lakini sio kwakuchakazana huko.Nilikuwa na nia ya kuoa kabisa mkuu, na nilimsihi sana kuwa tumetoka mbali ila alikataa.