Temea mate chiniSawasawa...bas mchane ukweli mwambie aache kujishusha asonge mbele ex arudiwi[emoji34]
Ningefanyaje? Na maisha yalikuwa bado?we ndio umemuharibia mwenzako maisha, unadate na mtu miaka 10 ulitegemea nini
Anataka nimtafutie kazi yoyoteMiaka 10 wakati unamkula tu....Daaa.Kwanza ana moyo sana kurudi kwako....mwambie maisha mazuri ni hayo anayoishi aache kujidhalilisha kuombaomba ndoa Kwa maex😏
Hukuwa na la kufanya ndiyo lakini kuondoka kwako halikuwa kosa lake pia,yeye ndo kakosea kutaka kukurudisha maisha mwake ....mfundishe kusonga mbele tafadhali ...naumia badala yake yaanNingefanyaje? Na maisha yalikuwa bado?
Kama unaweza msaidie....kama huwez mwambie yote uliyotuambia hapa Kuwa huwez Kuwa nae na aache kukufuatilia....utakuwa umemsaidia sanaAnataka nimtafutie kazi yoyote
Ila kunyanduana kama kawaida, hapana ndoa nayo huwa na baraka zake.Mipango ilikuwa bado
Ha ha ha haWalikuwa wanakulana kimasikhara
Acha ujinga.Muoe.Tulidumu karibu miaka 10, nia yangu ilikiwa ni kumuoa ila baada ya kukamilisha mipango niliyojiwekea, ilipobaki miezi michache tuoane akanikalisha chini akaniambia kuwa hawezi kuendelea kuwa na mimi.
Ikabidi niheshimu mawazo yake japo roho iliniuma mpaka kufikia hatua nikawa napata maumivu kwenye moyo.
Nakumbuka kuna siku nilikuwa namfuatilia kwenye facebook nikitamani kujua aliyenipiku ananini kunizidi, nikakuta kamposti jamaa fulani mfupi kapiga picha mbele ya rav 4, roho iliniuma sana na ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kukosa usingizi mpaka asubuhi, na kiherehere cha kumfuatia kikaishia palepale.
Baada ya kupita miaka mitano, Mwaka jana siku moja napeleka mzigo wa mteja mara simu ikaita kuchek namba ya airtel, kupokea anasema mimi I, nikamuambia mimi siongeagi na wake za watu akasema hajaolewa.
Akasema amenimiss anatamani kuniona tukapanga tukakutana, nilikuwa na hamu ya kuona maisha anayoishi,
Tukaenda anapoishi ni chumba kimoja kidogo kina kitanda tu na jiko la mkaa, amepauka amekonda. Akawa anampa mtoto kipande cha tikiti maji.
Hana kazi anategemea elfu 50 ya malezi ya mtoto anayopata kila mwezi kutoka kwa baba wa mtoto. Yenyewe aliipata kwa mbinde kupitia ustawi wa jamii.
Akanielezea kuwa yule mwanaume alikuwa ameoa ana watoto wa 3 na amezalisha wanawake kibao.
Akaniomba numpe nafasi awe mke bora mi nikawa namcheki tu alivyopauka.
Hivi kweli nipambanie maisha mpaka hapa nilipo alafu nioe mwanamke mwenye mtoto tena aliyenidhau.
Hakikisheni mkiacha mtu mnaenda kwa aliye bora zaidi. Ni hesabu rahisi tu.
Umejuaje?ok.. ila deep down bado unampenda!
Huruma huzaa mautiHISIA king'ang'anizi Zaid ya kansa
Ye alijua nitakufa masikiniKama unaweza msaidie....kama huwez mwambie yote uliyotuambia hapa Kuwa huwez Kuwa nae na aache kukufuatilia....utakuwa umemsaidia sana
Mwanzo wa safari ya kifo ni kurudia mtesi wakoHuruma huzaa mauti
Nishakueleza Cha kufanya....usishupaze shingo mkuu ajali zote zilizotokea wanaojitutumua kama wewe pia walikuwemo.Please mblock Kila Kona usimuumize sababu ya mapungufu yakeYe alijua nitakufa masikini
🤣🤣🤣🤣Umeona ee wakienda ndiyo huko masomoni uwiii tunaachwa solemba.
Kila mtu analinda interest zake, bibie baada ya kuona amewekwa rehani aliamua kumove on kwa hiyo utatuzi wa kuwekwa kinyumba bila ndoa kwa miaka 10 ulishafanyika.Vipi nayeye kumuweka rehani miaka 10, kama ni mtoto yupo darasa tano kabisa.
Haitokaa itokee aache mawasiliano na baba wa mtoto,,kumbuka wameshea damu hapo na shida ndo inaanzia hapo,ingekua hajazalishwa angalau,lkn yule jamaa mfupi aliekuumiza miaka mitano ilopita ndio huyo huyo atakuja kukuumiza tena kwa kigezo cha kumtembelea mwanae.Duh...!! Zimwi likujualo halikuli likakwisha.
Mi naona kama moyoni kwako bado ana nafasi mchukue umuoe.. hakikisha unamuhudumia mtoto kama wako, zile elfu 50 zisitishwe na aache mazoea na mzazi mwenzie.
Unaweza kuchukua mke mpya akawa na majanga pia matatizo yakaanza na upyaa.
Mmmh! Lakini mwenye mtoto tayari huwaga mtihani..
Wanataka sherehe na matarumbetaWaafrika tumepatwa na nini?
Hizo certificate na sherehe ni mbwembwe za ziada tu...
Ndoa ni makubaliano ke na me mengine ya zoada...
So huyo dada ameivunja ndoa yake halali sababu kuchelewa kumtunikiwa certificate.
Time wasted.