Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Kama kawa mama enu nimerudi na stori ingine tena
Leo natoka zangu kazini, nikapigiwa simu na shogangu tukutane mikocheni plaza ana stress za mapenzi
Nikaenda kumsikiliza vizuri tu, lalamiko lake kubwa ni kuwa;
Bwana wake amemuacha, kabla hajaachwa akamwuliza bwana wake, kwanini unaniacha wakati nakupenda,
Bwana: nimechoka staki kuwa na mwanamke kama wewe tena, nataka mwanamke ambae anama-Dimples kwenye Mahipsi yake, wewe Huna.
Shoga: sasa money penny hayo ma dimples kwenye mahips nayatoa wap kwanza yanafananaje? Mbona sielewi jaman hawa wanaume?
Haya wana Jamii Kubwa, mje mtueleze ma dimples kwenye mahispi ya mwanamke ndio yanakuwaje?
Me nikadhani ni hivi? Nimeweka mistake mekundu ndio dimples hizo au?