Anataka mwanamke mwenye dimples kwenye Mahips yake, nifanyaje?

Anataka mwanamke mwenye dimples kwenye Mahips yake, nifanyaje?

Kama kawa mama enu nimerudi na stori ingine tena

Leo natoka zangu kazini, nikapigiwa simu na shogangu tukutane mikocheni plaza ana stress za mapenzi

Nikaenda kumsikiliza vizuri tu, lalamiko lake kubwa ni kuwa;

Bwana wake amemuacha, kabla hajaachwa akamwuliza bwana wake, kwanini unaniacha wakati nakupenda,

Bwana: nimechoka staki kuwa na mwanamke kama wewe tena, nataka mwanamke ambae anama-Dimples kwenye Mahipsi yake, wewe Huna.

Shoga: sasa money penny hayo ma dimples kwenye mahips nayatoa wap kwanza yanafananaje? Mbona sielewi jaman hawa wanaume?

Haya wana Jamii Kubwa, mje mtueleze ma dimples kwenye mahispi ya mwanamke ndio yanakuwaje?

Me nikadhani ni hivi? Nimeweka mistake mekundu ndio dimples hizo au?
View attachment 3093474
Huyo ungemvua ningekuonesha sehemu zinapokaa na siyo maeneo uliyoonesha.

Unaona huo mkono aliouelekeza chini, hukaa eneo lilipo bangili la juu kwa nyuma kidogo ya hipps, ni mbonyeo flani amazing.

Ila huyo mzee ni mpumbaf, huwezi vunja penzi kwa vijisababu visivyokuwa na kichwa wala miguu bhana.
 
Ndefu sana bwana weka picha acha maneno matupu
 
Back
Top Bottom