Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #61
Hips zenye dimples? Ngoja nikachunguze zako huenda nikapata haya unayosema 🤣
Nimemiss penzi la nginjanginja, nahitaji msaada tafadhari
Mkali wao: Unajua Penny nimemiss sana penzi la Nginjanginja? Money penny: Ambalo ni lipi? Mkali wao: Penzi la vurugu, penzi la kila sehemu mnaweka kikao, penzi la huku na kule, penzi la harakaharaka, slow slow, kifupi ngijanginja. Money Penny: Bado umeniacha mbali. Mkali wao: Penzi la...