Ndio walivyo hao, kwasasa hata huyu anatafuta namna ya kuonwa na mwenyekiti na kundi lake ili asikose viti maalum! Anasahau uchaguzi huu chadema inaweza ikarudi na wabunge wasiozidi 3 au kwa serikali hii ilivyo wakafyekwa wote. Baada ya uchaguzi ndio wataparanganyika zaidi kwa kukosa kazi za kufanya na huku funds zimekata.angalia na wewe usije kukana haya maneno yako.
Wao wanaandaliwa statement ya kutoa mbele ya cameraShukurani ya punda siku zote ni mateke kuna maisha baada ya siasa kumbukeni mlivyokuwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zamani kidogo nilikuwa nilikuwa nilifikiri ni mtu ukishakuwa mbunge automatically utakuwa na akili.
Unakubali katumika kirahisi hadi unatia kinyaa
Huyu bado zamu yake! Muda utaongea!
Atakuja kuyakana maneno yake!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wale akina mama wamejitoa ufahamu.
Walikuwa wapi siku zote kutoa tahadhari juu ya kunyanyaswa kingono? , ina maana walikubali kunyanyaswa kingono ili waendelee na vyeo?
Au ina maana hata huko wanapokwenda wakinyanyaswa tena kingono watavumilia ili mradi kulinda vyeo?
Na je akitokea mtu akataka awanyanyase kingono watakubali ili mradi wapate cheo watakubali ILA tu watamsema baada ya muda wa hicho cheo kuisha?
Kwa kweli wamezitia aibu familia zao, masikini wanawake wale walioshikwa akili na CCM
Wasikilize vizuri. Wapi wamesema wamedhalilishwa? Acheni uongoWale akina mama wamejitoa ufahamu.
Walikuwa wapi siku zote kutoa tahadhari juu ya kunyanyaswa kingono? , ina maana walikubali kunyanyaswa kingono ili waendelee na vyeo?
Au ina maana hata huko wanapokwenda wakinyanyaswa tena kingono watavumilia ili mradi kulinda vyeo?
Na je akitokea mtu akataka awanyanyase kingono watakubali ili mradi wapate cheo watakubali ILA tu watamsema baada ya muda wa hicho cheo kuisha?
Kwa kweli wamezitia aibu familia zao, masikini wanawake wale walioshikwa akili na CCM
Maneno ya busara sana kwa wenye akiliHizi kauli zao zinawatokea puani baadae. Chadema mna matatizo makubwa ya ndani mnapaswa kujirudi. Mnaenda kuifanya NCCR chama kikuu cha upinzani kirahisi sana kwa ubishi wa kipumbavu.
Andaeni taasisi huru itakayo kusanya maoni ya wabunge, madiwani na viongozi waandamizi na baadae kutoa mapendekezo wazi na yafanyiwe kazi. Hata ukiwa nje utaona kuna wachache wamegeuka ndio wenye chama na wengine hawapewi kipaumbele.
Baada ya uchaguzi mkuu wapenda mageuzi na wanaharakati watasonga mbele na NCCR na kuwasahau. Acheni kujipa moyo na comments za kwenye social media ambazo haziwezi kuwapa hata udiwani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio walivyo hao, kwasasa hata huyu anatafuta namna ya kuonwa na mwenyekiti na kundi lake ili asikose viti maalum! Anasahau uchaguzi huu chadema inaweza ikarudi na wabunge wasiozidi 3 au kwa serikali hii ilivyo wakafyekwa wote. Baada ya uchaguzi ndio wataparanganyika zaidi kwa kukosa kazi za kufanya na huku funds zimekata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana wapo waliodhalilishwa. Wanafikiri kudhalilishwa hadi kulala na mwanamke tu! Halafu fikiria angejitokeza mwanamke kulaani huo udhalilishaji wangemfanya nini hawa ambao mbunge kuamua kwenda bungeni kutimiza wajibu wake anatimuliwa bila hata kuulizwa! Tena akiwemo aliyekuwa mkuu wa ulinzi na usalama! Si kichaa hiki!Na wale wabunge hawakusema wamenyanyaswa kingono. Bali walidai taratibu za cdm zinatoa nafasi ya unyanyasaji wa kingono. Sasa wameamua kuwazushia.
Kama yeye bingwa,ajibu nondo za Waitara
Sent using Jamii Forums mobile app
Zamani kidogo nilikuwa nilikuwa nilifikiri ni mtu ukishakuwa mbunge automatically utakuwa na akili.
Unakubali katumika kirahisi hadi unatia kinyaa
Nami nimeshangaa sana. Bungebi kuna kamati zinazo deal ba bullying, kwa nini hawakuripoti huko kwanza?
Sent using Jamii Forums mobile app