Anaandika Anatropia Theonest Lwehikila (Mbunge wa Viti maalumu Segerea).
_________________
Somo la bure kwa wanawake wenzangu hasa wanaokihama CHADEMA. Endeleeni na tuhuma bandia dhidi ya chama kinachojua kilipowatoa. Leo tumependeza, tunanukia, shukrani halisi zimekuwa mateke.
Semeni yote mtakayo lakini aibu zaidi ni kina mama watu wazima (tena wabunge) kusema hadharani mmedhalilishwa kingono. Nafasi ya ubunge iliwapa exposure ya kujua wapi mpeleke malalamiko yenu. Mahakama mnazijua, Ustawi wa jamii mnapajua, hata TWPG viongozi wao mnawajua. Ilikuwaje mkae kimya miaka yote 5? AIBU YENU.!
_
Hata kama ingekuwa kweli, mnasifa gani za kuendelea kuwa viongozi kama hamuwezi kujisaidia. Mtawezaje kusaidia mabinti na wanawake wengine wanaonyanyasika wapate msaada kama ninyi wenyewe mmeshindwa kupata msaada? Mmechekesha kweli.
Nawasihi acheni kujidhalilisha na kuwadhalilisha wanawake wenzenu. Acheni shutuma za kitoto. Hao wanaowaandikia hizo 'statement' wanawapotosha sana.
Jamii inategemea kuwaona mmestaarabika baada ya kumaliza Ubunge wenu wa Viti Maalumu mkijiandaa kwenda kugombea majimboni. Sasa kama mnadai mmedhalilishwa kingono na mkakaa kimya kwa miaka mitano, mtawezaje kuwasemea wananchi kero zao? Mmeshapoteza point.
Endeleeni kusema uongo iko siku mtahitajika kupeleka ushahidi mahakamani. Badilikeni nawaonya.!
Ila kwa kweli sijui ni kwanini wanawake hawa wanakosa akili kwa kiwango hiki....
Sasa kwa viashiria hivi, naamini kuwa tamaa ya fedha huzaa uovu na utovu wa kimaadili kwa kiwango cha juu. Hawa kina mama wanauza UTU na HESHIMA yao kwa sbb ya fedha tu....
Si ajabu hawa wanawake wanaojitukana na kujidhalilisha wao wenyewe ni wanandoa, wana waume na wana watoto na familia....
Sasa mwanamke mwenye hadhi ya Ubunge ama Udiwani anapotoka mbele ya camera za TV na kujivua nguo na kujitangaza kuwa "alifanya ngono na wanaume wa CHADEMA ama CCM ama ACT - Wazalendo nk ili tu apate ubunge", si tu ni ujinga na upumbavu wa kiwango cha juu sana, bali wanakuwa wameuza utu na heshima yao na kudhalilisha familia zao, ndoa zao, waume zao na watoto...
Kwa sababu sina hakika kama huwa wanakubaliana na waume zao kuwa, "... wewe mke wangu lala tu Mbowe, fanya uzinzi ili upate ubunge ama udiwani...."
Kama ndivyo, basi hawa hafai kuwa viongozi wa ngazi yoyote hata ktk familia tu. Hawa wanafaa kuwa MALAYA na WAUZA NGONO wa mitaa ya......!!
Sijui ni kwanini hawatambui gharama ya maneno yao hayo itawagharimu wao na vizazi vyao, na kamwe si mwanamume wanaodai amewalazimisha kulala nao ili awape eti ubunge ama udiwani....
Kwa upande wao hawa wanawake wanaona UBUNGE ama UDIWANI ni wa thamani sana kuliko UTU na HESHIMA yao....
Aisee, binafsi nawasikitikia sana kwa sababu hii ni aibu itawayokamata na kuvifuata vizazi na vizazi vyao vyote vinavyokuja iwapo hawatachukua hatua ya haraka kuitubu dhambi hii....
View attachment 1457632View attachment 1457632View attachment 1457632