Anatropia Lwehikila awashukia wabunge waliodai kunyanyaswa kingono, asema wanajidhalilisha kutojua wapi pa kupeleka malalamiko yao

Anatropia Lwehikila awashukia wabunge waliodai kunyanyaswa kingono, asema wanajidhalilisha kutojua wapi pa kupeleka malalamiko yao

Anaandika Anatropia Theonest Lwehikila (Mbunge wa Viti maalumu Segerea).
_________________
Somo la bure kwa wanawake wenzangu hasa wanaokihama CHADEMA. Endeleeni na tuhuma bandia dhidi ya chama kinachojua kilipowatoa. Leo tumependeza, tunanukia, shukrani halisi zimekuwa mateke.

Semeni yote mtakayo lakini aibu zaidi ni kina mama watu wazima (tena wabunge) kusema hadharani mmedhalilishwa kingono. Nafasi ya ubunge iliwapa exposure ya kujua wapi mpeleke malalamiko yenu. Mahakama mnazijua, Ustawi wa jamii mnapajua, hata TWPG viongozi wao mnawajua. Ilikuwaje mkae kimya miaka yote 5? AIBU YENU.!
_
Hata kama ingekuwa kweli, mnasifa gani za kuendelea kuwa viongozi kama hamuwezi kujisaidia. Mtawezaje kusaidia mabinti na wanawake wengine wanaonyanyasika wapate msaada kama ninyi wenyewe mmeshindwa kupata msaada? Mmechekesha kweli.

Nawasihi acheni kujidhalilisha na kuwadhalilisha wanawake wenzenu. Acheni shutuma za kitoto. Hao wanaowaandikia hizo 'statement' wanawapotosha sana.

Jamii inategemea kuwaona mmestaarabika baada ya kumaliza Ubunge wenu wa Viti Maalumu mkijiandaa kwenda kugombea majimboni. Sasa kama mnadai mmedhalilishwa kingono na mkakaa kimya kwa miaka mitano, mtawezaje kuwasemea wananchi kero zao? Mmeshapoteza point.

Endeleeni kusema uongo iko siku mtahitajika kupeleka ushahidi mahakamani. Badilikeni nawaonya.!
Inaonekana kana kwamba kunyanyasana kingono ndani ya CDM ni fashion! Watu wananyanyaswa na kutwezwa utu wao huko. Wanawake ndani ya CHADEMA ni kilio kila siku, kwamba wametwezwa.
 
Kwa hiyo kwa muda wote 5yrs alikuwa anatifuliwa!
Naona huko ni kutifuana kwa kwenda mbele. Wamekiri kwamba wametumika. Hawa wanastahili kulaaniwa na wanawake wa Tanzania, wamewadhalilisha sana.
 
Wameonekana kituko
Labda na huko walikoenda watoa miili yao kama sadaka kuja kutoa huo upupu wakibwaga watarudi kusema walinyanyaswa kingono kwa hivi wanahama tena
Imekula kwao
 
MBATIA naye atawagonga, maana tabia ni ngozi, kama wanao waume zao na kwa miaka mitano wamegongwa, huko wanapokwenda hawatagongwa?
Watachezea then wataamia ccm nako hivo hivo.Kama unagongwa ili upate teuzi how cheap ur na unafundisha nn familia yako
 
Kunyanyaswa kingono ni silaha watumiayo wanawake dhaifu wasioweza wanaobebwa kufichia udhaifu wao
 
Ni vyema Chadema iwe makini na watu inaowapitisha kugombea ubunge,udiwani au viti maalumu ili kuepuka mambo kama haya.

Watu kama kina Selasini ,Lijuakali,Waitara wangeweza kutambuliwa mapema toka awali na wangewekewa pingamizi ndani ya chama ili kuepusha fedheha kama hizi.
Ni kazi sana kuwatambua.. wanapokuja wanakuja mikono nyuma ila wakishapata ndio wanachomoa makucha. Watu wamepata kiki kupitia chadema lakini wanavyokitusi huwezi kuamini. Waweke kaustaarabu kidogo hawawezi jua huko wanakoenda kutakuwaje
 
Anaandika Anatropia Theonest Lwehikila (Mbunge wa Viti maalumu Segerea).
_________________
Somo la bure kwa wanawake wenzangu hasa wanaokihama CHADEMA. Endeleeni na tuhuma bandia dhidi ya chama kinachojua kilipowatoa. Leo tumependeza, tunanukia, shukrani halisi zimekuwa mateke.

Semeni yote mtakayo lakini aibu zaidi ni kina mama watu wazima (tena wabunge) kusema hadharani mmedhalilishwa kingono. Nafasi ya ubunge iliwapa exposure ya kujua wapi mpeleke malalamiko yenu. Mahakama mnazijua, Ustawi wa jamii mnapajua, hata TWPG viongozi wao mnawajua. Ilikuwaje mkae kimya miaka yote 5? AIBU YENU.!
_
Hata kama ingekuwa kweli, mnasifa gani za kuendelea kuwa viongozi kama hamuwezi kujisaidia. Mtawezaje kusaidia mabinti na wanawake wengine wanaonyanyasika wapate msaada kama ninyi wenyewe mmeshindwa kupata msaada? Mmechekesha kweli.

Nawasihi acheni kujidhalilisha na kuwadhalilisha wanawake wenzenu. Acheni shutuma za kitoto. Hao wanaowaandikia hizo 'statement' wanawapotosha sana.

Jamii inategemea kuwaona mmestaarabika baada ya kumaliza Ubunge wenu wa Viti Maalumu mkijiandaa kwenda kugombea majimboni. Sasa kama mnadai mmedhalilishwa kingono na mkakaa kimya kwa miaka mitano, mtawezaje kuwasemea wananchi kero zao? Mmeshapoteza point.

Endeleeni kusema uongo iko siku mtahitajika kupeleka ushahidi mahakamani. Badilikeni nawaonya.!

Ila kwa kweli sijui ni kwanini wanawake hawa wanakosa akili kwa kiwango hiki....

Sasa kwa viashiria hivi, naamini kuwa tamaa ya fedha huzaa uovu na utovu wa kimaadili kwa kiwango cha juu. Hawa kina mama wanauza UTU na HESHIMA yao kwa sbb ya fedha tu....

Si ajabu hawa wanawake wanaojitukana na kujidhalilisha wao wenyewe ni wanandoa, wana waume na wana watoto na familia....

Sasa mwanamke mwenye hadhi ya Ubunge ama Udiwani anapotoka mbele ya camera za TV na kujivua nguo na kujitangaza kuwa "alifanya ngono na wanaume wa CHADEMA ama CCM ama ACT - Wazalendo nk ili tu apate ubunge", si tu ni ujinga na upumbavu wa kiwango cha juu sana, bali wanakuwa wameuza utu na heshima yao na kudhalilisha familia zao, ndoa zao, waume zao na watoto...

Kwa sababu sina hakika kama huwa wanakubaliana na waume zao kuwa, "... wewe mke wangu lala tu Mbowe, fanya uzinzi ili upate ubunge ama udiwani...."

Kama ndivyo, basi hawa hafai kuwa viongozi wa ngazi yoyote hata ktk familia tu. Hawa wanafaa kuwa MALAYA na WAUZA NGONO wa mitaa ya......!!

Sijui ni kwanini hawatambui gharama ya maneno yao hayo itawagharimu wao na vizazi vyao, na kamwe si mwanamume wanaodai amewalazimisha kulala nao ili awape eti ubunge ama udiwani....

Kwa upande wao hawa wanawake wanaona UBUNGE ama UDIWANI ni wa thamani sana kuliko UTU na HESHIMA yao....

Aisee, binafsi nawasikitikia sana kwa sababu hii ni aibu itawayokamata na kuvifuata vizazi na vizazi vyao vyote vinavyokuja iwapo hawatachukua hatua ya haraka kuitubu dhambi hii....View attachment 1457632View attachment 1457632View attachment 1457632
 
Usiku na mchana serikali hii inawaza mbinu za kuiuwa chadema ndio wanyanyaswe kingono wasipate sababu ya kuifuta kweli.Ukiangali wengi hata kuvaa suti ,kuendesha magari wamejifunzia cdm wamekosa shukrani wengine bila cdm hata uwaziri wasingeupata wangeota vigimbi kwa kukanyaga pedo za bicycle kuuza mayai.Mtu matured uondoka kimyakimya ili asionyeshe tabia yake aendako.Kama huna hama hama kimya kimya ita waandishi wa habari waambie umeona inafaa kuwa upande uliopo then wakitaka kuhoji waambie maswali wakati mwingine,kuweni matured Kama Kafulila au Dr Slaa unaponda ulipotoka hata uendako utoaminika.
Leo mimama mizima inalalamika utadhani ilikuwa inavulishwa kinguvu unatangaza hadharani kbsa mtunga sheria labda tu Kama ni mdanga siasa ili kuinadi bness yako uendako.
 
Attachments

  • FB_IMG_1590244433554.jpg
    FB_IMG_1590244433554.jpg
    15.2 KB · Views: 2
Huyo naye naona mkuyati wa DJ umemkolea, maana Mbowe ni kama mfalme Mswati... Mara anende na Joyce Dubai, mara awaferengue hapa hapa bongo. Hao wanaoona kuwa DJ yupo sahihi kuwatafuna bora wake kimya, wenzao wamechoka kudhalilishwa!
Kama wewe ulivyokunogea mkuyati wa Dr. Fake wa ccm anayeongoza genge la wasaka tonge.
 
Back
Top Bottom